MAYWEATHER AONYESHA JEURI YA FEDHA KLABUNI

0
405

 

LOS ANGELES, MAREKANI


Bondia  Floyd Mayweather alikwenda katika klabu moja ya usiku mjini New Jersey, akiwa na Dola za Marekani 50,000 (zaidi ya Sh milioni 114 za Tanzania).

Mayweather alionekana akirusha hewani mkwanja mwingine, hasa baada ya kuachiwa kwa ngoma ya ‘Canon’ ya mkali Lil Wayne.

Hata kabla ya kufuru hiyo ya utumbuaji mkwanja, tayari Mayweather alishawaacha hoi wengi baada ya kutumia Dola 5,000 (zaidi ya Sh milioni 11) kununua chupa moja ya pombe aina ya Louis XIII.

Licha ya kumwaga kiasi hicho cha fedha, wala hakunywa, ilikuwa ni kwa ajili ya marafiki zake tu aliokwenda nao ‘kula bata’.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here