27.5 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

Linda Lusardi ajianika baada ya kupona Corona

London, England

STAA wa filamu nchini England, Linda Lusardi, amejianika kwenye mitandao ya kijamii siku moja mara baada ya kuthibitishwa kuwa amepona na virusi vya Corona.

Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 61, alitumia ukurasa wake wa Instagram na kuposti picha mbalimbali ambazo zilimuonesha akiwa hospitalini na zingine akiwa nyumbani baada ya kutoka.

“Ni jambo jema kuwa nyumbani, kuwa salama, kaa ndani na jaribu kupambana na usalama katika kipindi hiki kigumu, nashukuru nimepona na nipo salama,” aliandika mremabo huyo.

Hata hivyo mashabiki mbalimbali walimpa pole mrembo huyo huku wakimtakia mapumziko mema kwa kipindi hiki ambacho yupo nyumbani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles