27.2 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

Kontena 142 zakutwa na bidhaa bandia

Christina Gauluhanga, Dar es Salaam

Tume ya Ushindani (FCC),  imefanya ukaguzi katika kipindi cha mwaka wa fedha uliopita 2017/2018 wa makontena 3,312 na kubaini kontena 142 zilikuwa  na bidhaa bandia.

Akizungumza na Mtanzania Digital leo Julai 5, katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, Mkurugenzi wa Utekelezaji Sheria, Dk. John Nangala amesema ukaguzi huo ulifanywa mikoa mbalimbali na mipaka yote ya nchi.

“Katika kipindi hiki pia tulifanya kaguzi za kushtukiza 31 katika maeneo mbalimbali nchini, na tumefanya ukaguzi  katika mikoa ya Dodoma, Morogoro, Mwanza, Arusha, Mbeya na mipakani,” amesema.

idha Nangala amesema lengo la kufanya ukaguzi huo ni kujenga uelewa wa bidhaa bandia na katika kipindi hicho wamepokea kesi za ushindani malalamiko 60.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles