30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

JPM ‘AMTUMBUA’ KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Uledi Mussa mjini Dodoma leo.

Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imesema hatua ya utenguzi huo ni kutokana na kutozingatiwa kwa taratibu zinazotakiwa katika kushughulikia masuala ya uwekezaji.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, iliyotiwa saini na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa utenguzi huo pia umefanyika ili kupisha uchunguzi wa ukiukwaji huo wa taratibu za uwekezaji.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles