31.2 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

Jini Kabula: Asitafutwe mchawi anguko la filamu Bongo

jini+kabulaa789NA GEORGE KAYALA, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu nchini, Mariam Jolwa ‘Jini Kabula’ amesema kuwa anguko la soko la filamu za Bongo asitafutwe mchawi, kwani wasanii wengi wanaigiza chini ya kiwango na ndiyo maana kazi zao hazifanyi vizuri, licha ya kutumia gharama kubwa kuziandaa.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Jini Kabula alisema kuwa ni filamu chache zinazofanya vizuri sokoni, ikiwemo ya Chozi la Wanjaa iliyochezwa na Aunt Ezekiel, Kulwa Kikumbi ‘Dude’ na wasanii wengine ambazo zinaonekana kuwafurahisha watu, isipokuwa nyingi zinatengenezwa kwa kulipuliwa.
“Hakuna haja ya kumtafuta mchawi wa anguko la filamu nchini, kwani wengi wanatengeneza kwa kulipua, endapo waandaaji wasipobadilika, fani hii itakuwa haina maana tena kwa waigizaji,” alisema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles