24.1 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

Janice Dickinson ashindwa kuacha sigara

Life & Style Weekly 10 Year Anniversary Party - ArrivalsNEW YORK, MAREKANI

MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Janice Dickinson, amedai ameshindwa kuacha kuvuta sigara.

Mrembo huyo ambaye anasumbuliwa na saratani ya matiti, alifanyiwa upasuaji hivi karibuni na madaktari na
kutakiwa aachane na sigara, lakini anaonekana kushindwa baada ya juzi kukutwa akivuta tena.

Hata hivyo, kupitia akaunti ya Instagram, mrembo huyo amedai kwamba anashindwa kuacha kuvuta sigara.

“Sio kama sipendi kuacha kuvuta sigara, lakini ni kwamba nashindwa, nikikaa muda mrefu bila kuvuta najisikia
vibaya na ndio maana naona bora niendelee.”

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles