Irene Paul amtaka Amini kumuoa Linah

0
508

Na GLORY MLAY

MSANII wa Bongo Movie, Irene Paul amemtaka msanii wa Bongo Fleva Amini Mwinyimkuu ‘Amini’ kumuoa Linah Sanga na sio kutamini kuzaa nae.

Irene alisema wasanii wengi hapa nchini wanatakangaza sana mahusiano yao katika mitandao ya kijamii lakini uhusiano wao unakuwa hauna ukweli.

Alisema kama kweli Amini anamalengo na Linah basi asitamani kuzaa nae bali amuoe waishi katika ndoa.

“Wasaanii wengi wanaogopa kuoa kwa kukwepa majukumu, ndoa ni tamu hasa kama mnapendana sana hivyo namshauri Amini asitamani kuzaa tu na Linah amuoe kama anampenda, atazaa nae alafu nani atamuoa,  ajipange ndoa sio ngumu,” alisema.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here