28.2 C
Dar es Salaam
Saturday, April 20, 2024

Contact us: [email protected]

HAKIMU AJITOA KUSIKILIZA KESI YA LEMA

Na Janeth Mosha, Arusha

Hakimu Mkazi Patricia Kisinda amejitoa kusikiliza kesi ya uchochezi namba 441 dhidi ya Rais inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema (Chadema) baada ya Wakili wa Serikali Sabina Silayo,kumtaka Hakimu huyo ajiondoe kuendelea kusikiliza kesi hiyo kutokana na kuwa na urafiki wa karibu na mke wa Lema.

Kwenye Kesi hiyo leo, katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha, Lema alikuwa asomewe hoja za awali, lakini pia Lema hakuja mahakamani yuko Dar Es Salaam anaumwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles