30.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

Gigy Money amkuna Hussein Machozi

Giggy-MoneyNA KYALAA SEHEYE HANCHA

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Hussein Machozi, ameweka wazi hisia zake za kumkubali Video Queen anayetikisa hivi sasa kwenye tasnia ya urembo, Gigy Money.

Hussein Machozi, ameliambia Swaggaz, kuwa ni warembo wachache mno wanaoweza kujiamini kama anavyojiamini, Gigy ambaye huweka mambo yake mengi wazi ili mashabiki wapate kumfahamu vyema.

“Watu wengi wanamtafsiri vibaya, Gigy, mimi naona ni msichana anayejiamini, , anatambua thamani ya urembo wake ndiyo maana anafanikiwa tofauti na Video Queen wengi wanaopotea haraka kwa sababu hawajui wautumie vipi urembo wao,” alisema Hussein Machozi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles