27.9 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

Dawasa yapongezwa kwa kumaliza uhaba wa maji Dar

Arodia Peter, Dodoma

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasa), Mhandisi Cyprian Luhemeja p na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka hiyo, Jenerali Davis Mwamunyange wamepongezwa kwa kazi nzuri ya kupunguza uhaba wa maji katika jiji hilo.

Pongezi hizo zimetolewa bungeni leo Mei 2, na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), ambapo amesema tatizo la maji katika jiji la Dar limepungua tofauti na siku zilizopita.

Amesema kuna haja ya kuongeza tozo ya kutoka Sh, 50 hadi Sh, 100 ili kupunguza makali ya uhaba wa maji katika vijiji vingi nchini.

“Sasa ni muda muafaka kwa tozo ya Sh, 100 badala ya Sh, 50, kukuza mfuko wa Taifa wa maji,” amesema Nape.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles