27.1 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

CRDB kinara Afrika Mashariki

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam

Benki ya CRDB imetajwa  kuwa  benki ya kwanza kwa ukubwa hapa nchini na ya tatu kwa ukubwa Afrika  Mashariki kwa kukua na kuwa na mafanikio mengi.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Aprili 12, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela amesema mafanikio ya benki hiyo kwa mwaka uliopita ni mengi ikiwamo kukua kwa faida kwa asilimia 78.

“Mafanikio mengine benki yetu iliyopata ni kukua kwa utoaji mikopo kwa asilimia 8  na tumefanikiwa kuwakopesha Watanzania hadi Sh trilioni 3.1,”amesema Nsekela.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles