ZANZIBAR WACHANGA BIL. 2.8/- ZA MADAWATI

RAIS wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein NA MWANDISHI WETU, UNGUJA RAIS wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema jumla ya Sh bilioni 2.8 zimekusanywa kwa ununuzi wa madawati shule za msingi na sekondari za Serikali. Akizungumza mjini hapa jana wakati wa hafla ya kuhamasisha More...

by Mtanzania Digital | Published 5 days ago
By Mtanzania Digital On Tuesday, November 15th, 2016
Maoni 0

Kukatikakatika kwa umeme kwayumbisha  viwanda nchini

Na Justin Damian WAKATI Serikali ikisisitiza azma yake ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda, suala la umeme wa uhakika bado linaendelea kuvitesa viwanda vilivyopo ambavyo kwanza ni vichache  na ni vidogo (Light More...

By Mtanzania Digital On Sunday, October 23rd, 2016
Maoni 0

Dk. Shein naye ashtukia mikopo elimu ya juu

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein Na Mwandishi Wetu, Unguja RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, ameiagiza Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, kusimamisha More...

By france On Tuesday, January 5th, 2016
Maoni 0

Yanga, Azam kivumbi na jasho Mapinduzi

NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM TIMU ya Yanga leo inatarajia kuvaana na Azam katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali na wakuvutia utakaochezwa Uwanja wa Amaan. Mchezo More...

By france On Monday, January 4th, 2016
Maoni 0

Yanga yaua Zanzibar

*Yaitungua Mafunzo 3-0, Kamusoko, Ngoma tishio NA MWANDISHI WETU TIMU ya soka ya Yanga jana ilianza kwa kishindo michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuishushia kipigo cha mabao 3-0 timu ya Mafunzo katika mchezo More...

By france On Monday, January 4th, 2016
Maoni 0

Simba kibaruani kuivaa Jamhuri

NA MSHAMU NGOJWIKE, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, Simba leo wanatarajia kushuka dimbani kutupa karata yao ya kwanza kwa kuvaana na timu ya Jamhuri ya Pemba katika mchezo utakaopigwa More...

By france On Wednesday, October 15th, 2014
Maoni 0

Abood Jumbe hali tete, alazwa

VERONICA ROMWALD NA MICHAEL SARUNGI, DAR ES SALAAM RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Abood Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa More...

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman
By france On Wednesday, October 8th, 2014
Oni 1

AG Z’bar ‘Out’

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amefuta uteuzi More...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
By france On Monday, October 6th, 2014
Maoni 0

Dk. Shein: Dini isiwe chanzo cha vurugu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein Na Mwandishi Wetu, Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi More...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
By france On Monday, September 29th, 2014
Maoni 0

Zanzibar mbioni kufikia vigezo vya WHO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein Na Mwandishi Wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema, More...