Dk. Shein azindua hospitali ya kisasa Pemba

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein Na Mwandishi wetu – Pemba RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema uzinduzi wa hospitali mpya na ya kisasa ya Abdalla Mzee, umeandika historia mpya katika utoaji wa huduma za afya kisiwani Pemba. Amesema kuzinduliwa kwa hospitali hiyo kunaifanya Zanzibar kuwa na hospitali mbili kubwa zinazolingana More...

by Mtanzania Digital | Published 5 months ago
By Mtanzania Digital On Friday, September 30th, 2016
Maoni 0

Abiria wakwama bandarini, nahodha akamatwa

Na MASANJA MABULA, WETE ABIRIA 101 waliokuwa wakisafiri kutoka Kisiwani Pemba kwenda Tanga kupitia Bandari ya Wete, wamekwama bandarini. Abiria hao wamekwama mahali hapo baada ya nahodha na mabaharia wa mashua More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 12th, 2016
Maoni 0

Dk. Shein awapa somo wakulima wa karafuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein. Na Mwandishi Wetu-PEMBA RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amewahimiza tena wakulima wa karafuu More...

By Mtanzania Digital On Saturday, July 16th, 2016
Maoni 0

Tanzania yaikabidhi Malaysia bawa la ndege iliyotoweka

NA TUNU NASSOR, BAWA la ndege aina ya Boeing 777 linalodhaniwa kuwa ni la ndege ya Shirika la Malaysia Airlines yenye namba MH370, iliyotoweka Machi 8, mwaka juzi ikiwa na abiria 360 hatimaye limekabidhiwa kwa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 23rd, 2016
Maoni 0

Maalim Seif awavuruga Polisi Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, Pemba KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, Mohamed Shei-khan Mohamed, amesema uhalifu unaoendelea mkoani hapo ni matokeo ya ziara ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 2nd, 2016
Maoni 0

Dk Shein: Hakuna wakuning’oa madarakani

Na Mwandishi Wetu, Pemba MAKAMU  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema   hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kumwondoa madarakani kwa sababu  yupo kwa mujibu More...

By france On Friday, February 5th, 2016
Maoni 0

Wawakilishi CUF kwenda mahakamani

NA HASSAN HAMAD (OMKR), PEMBA MGOGORO wa uchaguzi visiwani Zanzibar umeingia katika sura nyingine baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kusema kuwa watakwenda mahakamani kuzuia More...

By france On Tuesday, May 12th, 2015
Maoni 0

Vitambulisho vya Mzanzibari vyazua balaa Pemba

Na Mwandishi Wetu, Pemba HALI ya siasa visiwani Zanzibar imeanza kuwa tete baada ya wabunge na wawakilishi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuwaongoza wananchi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani kisiwani Pemba More...