MWILI WA MFANYABIASHARA ‘SUPER SAMI’ WAOKOTWA MTONI

Na Mwandishi Wetu Mwili wa Mfanyabiashara na mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah maarufu Super Sami umepatikana Mto Rubana, Wilaya ya Bunda mkoani Mara ukiwa umefungwa katika viroba na kuharibika vibaya. Kaka wa mfanyabishara huyo, Amini Sambo amekiri kuutambua mwili wa ndugu yake na kubainisha kuwa umekutwa ukiwa katika hali mbaya kutokana More...

by Mtanzania Digital | Published 2 days ago
By Mtanzania Digital On Monday, February 5th, 2018
Maoni 0

MBUNGE AHOJI UHALALI WA BAKWATA KUWA MSEMAJI WA WAISLAMU

Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali (CUF), amehoji uhalali wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) kuwa wasemaji wa waisalamu nchini. Akiomba mwongozo wa Spika bungeni leo Jumatatu Februari 5, Bobali alisema Waislamu More...

By Mtanzania Digital On Saturday, January 20th, 2018
Maoni 0

MAULID MTULIA: “NASUBIRI KUAPISHWA KUWA MBUNGE WA KINONDONI”

Na Asha Bani – Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia amesema anasubiri kuapishwa kuwa mbunge wa jimbo hilo kutokana na mgombea aliyepitishwa na Chama cha Demokrasia More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 18th, 2018
Maoni 0

DPP AREJESHA JALADA LA KIGOGO WA TAKUKURU

Jalada la kesi ya aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai na wenzake watatu wanaokabiliwa na mashtaka ya kumiliki mali nyingi zisizo na maelezo, kughushi na More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 18th, 2018
Maoni 0

LAAC YATILIA SHAKA GHARAMA ZA UJENZI WA SHULE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imetilia mashaka mradi wa vyumba viwili vya madarasa wa Shule ya Sekondari ya Ndaoya iliyopo jijini Tanga. Akizungumza shuleni hapo Mjumbe wa kamati More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, January 17th, 2018
Maoni 0

KAMATI YA PROF KABUDI YAANZA MAZUNGUMZO NA TANZANITE ONE

Kamati ya kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite iliyoundwa na Rais John Magufuli imeanza kufanya mazungumzo na Kampuni ya Tanzanite One. Kamati hiyo iliyo chini ya Mwenyekiti wake, Waziri wa Katiba na Sheria, More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, January 17th, 2018
Maoni 0

WAZIRI MKUU ASITISHA UJENZI HALMASHAURI TARIME

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesitisha uamuzi wa ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime katika eneo la Nyamwaga baada ya kubaini hatua hiyo katika inaweza kuisababishia halmashauri kutumia fedha More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, January 17th, 2018
Maoni 0

HATMA YA WENYE VYETI FEKI KUJULIKANA MEI MOSI

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), limesema hatima ya watumishi waliokuwa na vyeti feki kulipwa au kutolipwa itajulikana kabla ya sherehe za Mei Mosi mwaka huu. Katibu Mkuu wa TUCTA, Dk. Yahya More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 16th, 2018
Maoni 0

WANAFUNZI WANAOZAGAA TANGA KUKAMATWA

Watendaji Kata na wenyeviti wa mitaa jijini Tanga, wametakiwa kuwakamata wanafunzi watakaoonekana kuzagaa mitaani wakati wa masomo na kuwachukulia hatua wazazi watakaobainika kutofuatilia maendeleo ya watoto wao More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 16th, 2018
Maoni 0

SERIKALI KUNUNUA DAWA ZA KUHIFADHI MAITI KWA WAZALISHAJI

Serikali inakusudia kuanza kununua dawa za kuhifadhia maiti moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji viwandani ili kupunguza za kuhifadhi maiti katika hospitali mbalimbali nchini. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, More...