BOT NA MKAKATI WA UTUNZAJI WA NOTI NCHINI

*Mkoa wa Kigoma waongoza kwa uchakavu wa noti Na Bakari Kimwanga-DAR ES SALAAM SUALA la kuhifadhi fedha hasa noti katika mazingira nadhifu, bado ni changamoto kubwa kwa Watanzania wengi hasa maeneo mbalimbali ya nchi yetu sehemu za pembezoni. Kutokana na hali hiyo, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) hulazimika kuziondoa kwenye mzunguko noti nyingi zilizochoka More...

NICOL YAIMARIKA, YASUBIRI KURUDI SOKO LA HISA DAR ES SALAAM
Na Shermarx Ngahemera KAMPUNI ya Taifa ya Uwekezaji (NICOL) ya wazalendo imepitia majaribu makubwa na sasa imeanza kupata faida baada ya kupata uongozi mpya na imeanza kutoa gawio kwa wanahisa wake baada More...

MRADI KILIMO-BIASHARA SBL WAONGEZA UZALISHAJI KWA ASILIMIA 70
Na Mwandishi Wetu KAMA ilivyo kwa nchi nyingi za Kiafrika, Tanzania ni moja kati ya nchi inayotegemea kwa kiasi kikubwa kilimo katika uchumi wake. Sekta ya kilimo inakadiriwa kuajiri zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania, More...

MAANDALIZI WIKI YA MLIPAKODI YAKAMILIKA, KUANZA KESHO NCHI NZIMA
Na Veronica Kazimoto, Dar es Salaam Wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla, wamehimizwa kujitokeza kwa wingi katika vituo vilivyopangwa rasmi kwa ajili ya Wiki ya Elimu kwa Mlipakodi itakayoanza kesho Machi 5-9, More...

WIKI YA ELIMU KWA MLIPAKODI KUFANYIKA MACHI
Na Veronica Kazimoto, Dar es Salaam Wiki ya Elimu kwa Mlipakodi ambayo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), huitumia kuelimisha, kusikiliza malalamiko, changamoto pamoja na kupokea mrejesho na maoni mbalimbali kutoka More...

UTAFUTAJI GESI HELIUM, SASA KAMPUNI YAOMBA LESENI UZALISHAJI WAKE
Na JUSTIN DAMIAN WAKATI gesi ya Helium ikigundulika kwa mara ya kwanza mwaka 2016 mkoani Rukwa, watafiti walikadiria kuwa ilikuwepo kiasi mita za ujazo bilioni 1.5 (54bcf). Hata hivyo, utafiti mpya uliofanywa More...

KUJITOSHELEZA SUKARI,BAGAMOYO SUGAR KUFANYA UZALISHAJI
Na Shermarx Ngahemera KAMPUNI ya Said Salim Bakhresa (SSB Group) imeitikia mwito wa Serikali wa kuongeza uzalishaji wa sukari ili nchi iweze kujitegemea kwa bidhaa hiyo pendwa kwa matumizi ya nyumbani na viwandani More...

SOKO KUBWA SAMAKI AFRIKA MASHARIKI LIKO HATARINI
sHERMARX nGAHEMERA Mwanza inafahamika sana nje ya Afrika na haswa Ulaya kwa uzalishaji wa samaki ambapo minofu mingi ya bidhaa hiyo hupelekwa kuuzwa kwenye masoko ya huko. Wakatri fulani hata filamu ilitengenezwa More...

SEKTA BINAFSI IJILAUMU KWA MATENDO YAKE KIUCHUMI
Na Mwandishi Wetu KUNA picha mbaya inajengeka kati ya sekta binafsi na ile ya umma kuwa Utawala unaichukia sekta binafasi na hivyo haiishirikishi katika miradi yake mikubwa na kufanya biashara yenyewe pekee More...

FANIKIO KATIKA MAKUSANYO KODI MBALIMBALI
Na KOKU DAVID-DAR ES SALAAM HIVI karibuni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekutana watumishi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara(TANTRADE) kwaajili ya kuwapa elimu ya kodi mbalimbali. Huo ni utaratibu ambao More...