CUF YAWAVUA UANACHAMA MADIWANI WATATU TANGA

                                                                 |Suzan Uhinga, Tanga   Chama cha Wananchi (CUF), jijini Tanga kimewavua uanachama madiwani watatu wakiwamo wawili wa Viti Maalumu na mmoja wa Kata ya Mwanzange. Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Daudi Mayeji, ametangaza hatua More...

by Mtanzania Digital | Published 1 week ago
By Mtanzania Digital On Monday, July 9th, 2018
Maoni 0

MAJALIWA AKEMEA WATUMISHI WASIOWAJIBIKA

Na IREN BWIRE (OWM),MWANZA WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amekemea tabia ya kutowajibika miongoni mwa watumishi kwa kisingizio cha mgawanyo wa madaraka. Waziri mkuu alitoa onyo hilo juzi wakati akizungumza na wanaushirika More...

By Mtanzania Digital On Monday, July 9th, 2018
Maoni 0

CHIZA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM  

Na MWANDISHI WETU,KIGOMA *Chadema, ACT waungana Buyungu WAZIRI wa zamani wa Kilimo katika Serikali ya awamu ya nne, Christopher Chiza, ameshinda kura za maoni ndani ya CCM ikiwa ni maandalizi ya kuwania ubunge More...

By Mtanzania Digital On Thursday, July 5th, 2018
Maoni 0

KANGI LUGOLA: MIMI NI NINJA

Na PENDO FUNDISHA,MBEYA WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema hatamwonea aibu kiongozi au mtu yeyote atakayetaka kuhatarisha amani ya nchi. Kutokana na hali hiyo, amesema kuanzia sasa, wanaotaka More...

By Mtanzania Digital On Thursday, July 5th, 2018
Maoni 0

KAULI ZA SUMAYE, LOWASSA IKULU ZAIBUA MJADALA

Na MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM KAULI zilizotolewa juzi Ikulu, Dar es Salaam na Waziri Mkuu mstaafu wa awamu ya tatu, Frederick Sumaye na Edward Lowassa, aliyeshika wadhifa huo wakati wa awamu ya nne, zimeibua More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, July 4th, 2018
Maoni 0

MAGUFULI,WASTAAFU WATETA MAMBO MAZITO

Na MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM *Sumaye aeleza safari ya upinzani ilivyopotoshwa *Mwinyi avutiwa utendaji kwa wafanyakazi wa umma *Lowassa ataka viongozi wapime athari za kauli zao RAIS Dk. John Magufuli amekutana More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, July 3rd, 2018
Maoni 0

RAIS MAGUFULI AWASHANGAA WANAOMKATISHA TAMAA

NORA DAMIAN Na ANDREW MSECHU,DAR ES SALAAM   RAIS John Magufuli amesema anashangazwa na watu wanaojaribu kumkatisha tamaa akisema kuwa yote anayoyafanya katika utawala wake ni kwa manufaa ya watanzania wote. Akizungumza More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 7th, 2018
Maoni 0

CHEBOI MWENYEKITI MPYA BODI YA ADC

Kenya Gavana wa zamani wa Baringo nchini Kenya, Benjamin Cheboi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ustawi wa Kilimo (ADC). Aidha, aliyekuwa Gavana wa Isiolo, Doyo Godana ameteuliwa kuwa Mwenyekiti More...

By Mtanzania Digital On Monday, June 4th, 2018
Maoni 0

MAGUFULI AONYA UENDESHAJI BENKI YA KILIMO

Anna Potinus, Dar es Salaam Rais John Magufuli amesema haridhishwi na utendaji kazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) , kutokana na kushindwa kutoa mikopo kwa wakulima hali inayosababisha sekta ya More...

By Mtanzania Digital On Monday, June 4th, 2018
Maoni 0

WIZARA YA FEDHA YAOMBA TRILIONI 12

Elizabeth Hombo, Dodoma Wizara ya Fedha na Mipango imeliomba Bunge liidhinishie makadirio ya mapato na matumizi ya Sh trilioni 12, ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019, kwa mafungu yote More...