KILIMANJARO QUEENS FITI KUSHIRIKI CECAFA

NA GLORY MLAY   KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake Tanzania Bara (Kilimanjaro Queens), Bakari Shime, amesema kikosi chake kipo fiti kushiriki michuano ya Cecafa Challenge itakayofanyika Mei 19, mwaka huu, nchini Rwanda. Akizungumza na MTANZANIA jana, Shime, alisema wamejipanga kuhakikisha hawafungwi kirahisi ili kutolewa katika michuano hiyo, More...

by Mtanzania Digital | Published 1 week ago
By Mtanzania Digital On Friday, May 11th, 2018
Maoni 0

JUSTIN BIEBER AMRUDIA MUNGU

NEW YORK, MAREKANI NYOTA wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Bieber, ameanza kurudi kanisani baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Selena Gomez, kutumia ukurasa wake wa Instagram na kusema ‘hawezi kurudi nyuma’. Kauli More...

By Mtanzania Digital On Friday, May 11th, 2018
Maoni 0

ARIANA GRANDE, MILLER ‘WAMWAGANA’

NEW YORK, MAREKANI STAA wa muziki na filamu nchini Marekani, Ariana Grande, amethibitisha kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu rapa Mac Miller. Wawili hao wamekuwa kwenye uhusiano tangu Septemba 2016, baada ya More...

By Mtanzania Digital On Friday, May 11th, 2018
Maoni 0

ED SHEERAN ATIKISA UINGEREZA

LONDON, ENGLAND STAA wa muziki nchini England, Edward Christopher maarufu kwa jina la Ed Sheeran, ametikisa nchini humo baada ya kutajwa kuwa namba moja kwa wasanii walioingiza fedha nyingi mwaka huu. Msanii huyo More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 8th, 2018
Maoni 0

GIGY MONEY: NITAINGIA STUDIO MAPEMA

Na JEREMIA ERNEST | VIDEO queens anayefanya vizuri kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’, amesema hawezi kuvumilia kutoingia studio kwa miezi sita. Akizungumza na MTANZANIA More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 7th, 2018
Maoni 0

ALI KIBA AFIKISHWA MAHAKAMANI

NA KULWA MZEE -DAR ES SALAAM SIKU mbili kabla ya msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba kufunga ndoa katika Mji wa Mombasa, mfanyabiashara wa mitumba aliyezaa naye, Hadija Hassan, alikimbilia mahakamani kudai matunzo. Hadija More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 7th, 2018
Maoni 0

MPENZI WA LAUREN ATOKA JELA

LONDON, ENGLAND MPENZI wa mwanamitindo maarufu nchini Marekani, Lauren Goodger, Joey Morrisson, ameachiwa huru baada ya kutumikia jela miaka tisa. Morrisson alihukumiwa kwenda jela kwa miaka 16 kutokana na tuhuma More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 7th, 2018
Maoni 0

ARNOLD SCHWARZENEGGER ACHOKA KUKAA NDANI

LOS ANGELES, MAREKANI STAA wa filamu nchini Marekani, Arnold Schwarzenegger, ameweka wazi kuwa, amechoka kukaa ndani kama mfungwa, tangu alipofanyiwa upasuaji wa moyo. Schwarzenegger, mwenye umri wa miaka 70, More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 7th, 2018
Maoni 0

MTOTO WA MICHAEL JACKSON AMWANIKA MPENZI WAKE

CALIFORNIA, MAREKANI MTOTO wa marehemu Michael Jackson, Prince Jackson, amemwanika mpenzi wake kwa mara ya kwanza, baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa mwaka mmoja sasa. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 20, ameonekana More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 3rd, 2018
Maoni 0

SELENA AWAACHA NJIAPANDA MASHABIKI

LOS ANGELES, MAREKANI HATIMAYE staa wa muziki nchini Marekani, Selena Gomez, ametangaza kuwa anatarajia kuachia wimbo wake mpya utakaojulikana kwa jina la ‘Back To You’, hivyo mashabiki wameshtushwa na jina More...