MBOWE: JPM AKISHINDA 2020 NAJIUZULU SIASA

Na OSCAR ASSENGA, MUHEZA MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema Rais Dk. John Magufuli atakuwa kiongozi wa kwanza nchini kuvunja rekodi ya kutawala kwa kipindi cha miaka mitano badala ya 10 kama walivyofanya watangulizi wake. Mbowe aliyasema hayo jana wakati akizindua tawi la wakereketwa wa chama More...

by Mtanzania Digital | Published 1 month ago
By Mtanzania Digital On Sunday, February 19th, 2017
Maoni 0

MJANE ALIYEIBUKA KWA MAGUFULI ASHINDWA KESI

Na Amina Omari – Tanga MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tanga imetupilia mbali rufaa ya kusikiliza upya shauri la mirathi ya marehemu Mohammed Shosi lililofunguliwa na Swabaha Mohamed Ali. Mwanzoni mwa mwezi More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, February 14th, 2017
Maoni 0

POLISI TANGA: TUTAWASAKA WAUZA ‘UNGA’ ANGANI, MAJINI

NA OSCAR ASSENGA- TANGA JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga limesema litawakamata watuhumiwa wote watakaobainika kujihusisha kusafirisha dawa za kulevya kwa njia mbalimbali ikiwamo angani, majini na bandari bubu. Hatua More...

By Mtanzania Digital On Saturday, February 4th, 2017
Maoni 0

SAKATA LA MAMA MJANE PASUA KICHWA

RATIFA BARANYIKWA (DAR) Na AMINA OMARI-TANGA SAKATA la ‘mama mjane’ kutoka mkoani Tanga, Swabaha Mohamed Ali, aliyeibuka mbele ya Rais Dk. John Magufuli wakati wa kilele cha maadhimisho ya More...

By Mtanzania Digital On Friday, February 3rd, 2017
Maoni 0

ASKARI JWTZ, WENZAKE KIZIMBANI MAUAJI YA KONDAKTA WA DALADALA

NA AMINA OMARI, TANGA ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), MT 69500 Sajini Taji John Komba na wenzake watatu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tanga kwa tuhuma More...

By Mtanzania Digital On Thursday, February 2nd, 2017
Maoni 0

SHEIKH ALALAMIKIA MILIO YA PIKIPIKI

NA OSCAR ASSENGA, TANGA ULIPUAJI wa milio kwenye pikipiki (Exose) maarufu kama jango moshi, umetajwa kuwa miongoni mwa ugaidi mpya unaoitesa jamii ya Watanzania wengi ambao wameshindwa kuishi kwa amani. Kutokana More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, January 11th, 2017
Maoni 0

JAHAZI LAZAMA, LAUA 12 LIKIELEKEA PEMBA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba AMINA OMARI Na OSCAR ASSENGA – TANGA ZAIDI ya watu 12 wamekufa maji na wengine 27 kujeruhiwa baada ya jahazi walilokuwa wakisafiria kuzama kwenye Kisiwa More...

By Mtanzania Digital On Friday, December 30th, 2016
Maoni 0

HOSPITALI YA RUFAA YAKOSA DAWA YA USINGIZI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. Na SUSSAN UHINGA, TANGA HOSPITALI ya Rufaa ya Bombo mkoani Tanga, haina dawa ya usingizi kwa ajili ya wagonjwa wa upasuaji kwa siku ya tatu More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 27th, 2016
Maoni 0

POLISI: MARUFUKU KULIPUA MAFATAKI

NA OSCAR ASSENGA, TANGA JESHI la Polisi mkoani Tanga limetangaza vita kali na watu watakaolipua baruti, fataki, eksozi za magari au mlipuko wa aina yoyote wakati wa kipindi cha Sikukuu ya Mwaka Mpya na kusema watakamatwa More...

By Mtanzania Digital On Monday, December 26th, 2016
Maoni 0

SILAHA 37 ZA MOTO ZAKAMATWA MKOANI TANGA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba NA OSCAR ASSENGA, TANGA JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kukamata silaha za moto 37 ambazo zilikuwa zikitumika katika matukio ya uhalifu mkoani hapa. Pamoja More...