RC ASIMAMISHA UCHIMBAJI DHAHABU

Na TIGANYA VINCENT, MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amesimamisha kwa muda uchimbaji wa dhahabu katika machimbo ya Kitunda wilayani Sikonge  kuepusha maafa zaidi. Hatua hiyo inatokana na  maafa yaliyokea hivi karibuni ambako wachimbaji wadogo  sita walifariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi na mmoja  kwa kukosa More...

by Mtanzania Digital | Published 1 day ago
By Mtanzania Digital On Sunday, April 23rd, 2017
Maoni 0

MRADI WA MAJI UTAKAOGHARIMU BIL 600/- WASAINIWA TABORA

MKATABA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo (kulia) na Makamu wa Rais wa Kampuni ya L&T Construction ya nchini India, Nilayam Ramasethu, wakisaini mkataba wa ujenzi wa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 20th, 2017
Maoni 0

MAJAMBAZI WAPORA MILIONI 22/- , VOCHA SIKU YA PASAKA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Khamis Issa   Na MURUGWA THOMAS, WATU wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia duka na  kupora   Sh  milioni 22  na vocha  za simu za mitandao More...

By Mtanzania Digital On Saturday, April 1st, 2017
Maoni 0

MAJAMBAZI YATEKA MALORI MANNE, YAUA NA KUPORA 340,000/-

Na ABDALLAH AMIRI-IGUNGA KUNDI la watu zaidi ya 15 wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, wamefunga barabara kwa mawe na magogo kisha kuteka magari, kuwapora simu na fedha huku wakisababisha kifo cha dereva mmoja More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 5th, 2017
Maoni 0

JELA MAISHA KWA KUMBAKA MJUKUU WAKE

Na MURUGWA THOMAS – NZEGA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemhukumu kifungo cha maisha Hubasha Ngasa (62) mkazi wa Kijiji cha Ngonho baada ya kumtia hatiani kwa kosa la More...

By Mtanzania Digital On Monday, February 6th, 2017
Maoni 0

RAS AAGIZA WAGONJWA WANAUME WAFANYIWE TOHARA

Na ABDALLAH AMIRI-IGUNGA KATIBU Tawala wa Mkoa wa Tabora (RAS), Dk. Thea Ntala amewaagiza waganga wakuu wa wilaya zote za mkoa wake kuhakikisha wanasimamia suala zima la tohara kwa baadhi ya watu watakaobainika More...

By Mtanzania Digital On Saturday, January 28th, 2017
Maoni 0

POLISI AJINYONGA KWA WIVU WA MAPENZI

Na Abdallah Amiri- Igunga ASKARI aliyekuwa akifanya kazi katika Kituo Kidogo cha Polisi Tarafa ya Igurubi, Igunga mkoani Tabora, amejinyonga kwa kutumia shuka kutokana na wivu wa mapenzi. Askari huyo More...

By Mtanzania Digital On Saturday, January 28th, 2017
Maoni 0

DC ALIYEJIUZULU AONDOKA UYUI

*Ikulu yathibitisha Na AGATHA CHARLES- DAR ES SALAAM MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, Gerson Msigwa, amethibitisha kujiuzulu kwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Gabriel Mnyele. Kupitia More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 27th, 2017
Maoni 0

SIRI NZITO DC KUJIUZULU

Na Mwandishi Wetu, Tabora MKUU wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Gabriel Mnyele, amejiuzulu wadhifa wake, huku akiwa na siri nzito. Mnyele ambaye kitaaluma ni mwanasheria msomi, amejiuzulu jana huku akiwa amedumu More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 20th, 2017
Maoni 0

SILAHA ZA KIVITA, NYARA ZA SERIKALI ZA SH MILIONI 131 ZAKAMATWA TABORA

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba Na ODACE RWIMO – TABORA WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, ameshuhudia aina mbalimbali za silaha, zikiwamo za kivita 61 na nyara za Serikali More...