MAMA MAGUFULI ALIVYOGUSWA NA SHIDA ZA WAZEE

Mama Janeth Magufuli akisalimiana na wazee wanaoishi makazi ya kulea wazee na watu wenye mahitaji maalum ya Fungafunga yaliyopo Manispaa ya Morogoro. Na ESTHER MNYIKA-ALIYEKUWA SINGIDA KUMEKUWAPO na ongezeko kubwa la watu wasiojiweza kuomba katika miji na majiji hapa nchini kutokana na jamii zinazowazunguka kutowasaidia. Ongezeko hilo limesababisha More...

by Mtanzania Digital | Published 7 days ago
By Mtanzania Digital On Friday, February 17th, 2017
Maoni 0

MTENDAJI WA KATA ANUSURIKA KUUAWA NA FISI

Ofi sa Mtendaji wa Kata ya Mgongo, Mwajuma Rugamwa ambayeamelazwa hospitali ya Kiomboi baada ya kujeruhiwa na fisi. Na Seif Takaza-Singida OFISA Mtendaji wa Kata ya Mgongo, Wilaya ya Iramba mkoani Singida, More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 27th, 2016
Maoni 0

UJENZI WA NJIA KUU YA UMEME SASA WAKAMILIKA

UMEME: Mwangalizi wa mitambo ya umeme wa Kituo cha Usambazaji na Usafirishaji Umeme cha Tagamenda kilichopo Iringa, Mohamed Majaliwa akitoa maelezo kwa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari waliotembelea Mradi More...

By Mtanzania Digital On Saturday, December 17th, 2016
Maoni 0

DK. NCHIMBI ALIPONGEZA SHIRIKA LA NYUMBA NHC

MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi. Na Mwandshi Wetu, Singida  MKUU  wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi, amelishukuru Shirika la Nyumba  Taifa (NHC) kwa msaada wa mifuko ya saruji 10, kofia za bati More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 13th, 2016
Maoni 0

MAJALIWA AWAGEUKIA VIONGOZI WA DINI

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry. Na MWANDISHI WETU, SINGIDA WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa dini nchini, kutimiza wajibu wao kwa kuwahimiza More...

By Mtanzania Digital On Thursday, August 4th, 2016
Maoni 0

Lissu akamatwa mkoani Singida

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), amekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida, baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara jimboni kwake. Akithibitisha kukamatwa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, July 5th, 2016
Maoni 0

Ni vilio, huzuni vyatawala ajali Singida

Wananchi wakishuhudia ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya City Boy, yaliyogongana uso kwa uso eneo la Kijiji cha Maweni, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida jana. Ajali: Watu 30 wafariki dunia Singida, More...

By france On Tuesday, February 23rd, 2016
Maoni 0

Mlata mwenyekiti mpya CCM Singida

NA SEIF TAKAZA, SINGIDA MBUNGE wa Viti Maalumu, Martha Mlata, amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Singida kuziba nafasi ya Mgana Msindai aliyetimkia Chadema mapema mwaka jana. Akitangaza More...

By france On Thursday, December 3rd, 2015
Maoni 0

Basi la Takbir laua watu 12

NA SEIF TAKAZA,  IRAMBA WATU 12  wamefariki dunia papo hapo na wengine 19 kujeruhiwa, baada ya basi la Kampuni ya Takbir kugongana na lori la mafuta katika Kijiji cha Kizonzo, Shelui Wilaya ya Iramba mkoani Singida. Ajali More...

By france On Monday, November 16th, 2015
Maoni 0

Aunguzwa kifuani kwa maji ya maharage

Na Hillary Shoo, Singida MSICHANA  mmoja amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida, baada ya kumwagiwa maharage ya moto kifuani na dada yake, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Msichana huyo aliyelazwa More...