RC MTAKA AKARIBISHA WAZAWA KUWEKEZA SIMIYU

Na SAMWEL MWANGA, WAFANYABIASHARA wazawa mkoani Simiyu wametakiwa kuwekeza katika sekta ya viwanda huku Serikali mkoani humo ikieleza kuwa iko tayari kuwaunga mkono. Mkoa wa Simiyu umejipambanua kutekeleza azma ya Rais Dk. John Magufuli ya Tanzania ya Viwanda, kwa kuanzisha viwanda kwa ajili ya kukuza uchumi na kuongeza fursa za biashara More...

by Mtanzania Digital | Published 2 months ago
By Mtanzania Digital On Monday, February 6th, 2017
Maoni 0

MASWA WAPEWA SIKU 90 KUREJESHA MALI ZA SERIKALI

Na SAMWEL MWANGA-MASWA HALMASHAURI ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imetoa siku 90 kwa watu wote waliojimilikisha mali zake bila kufuata utaratibu kuzirejesha mara moja vinginevyo watashtaki kwa makosa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 5th, 2017
Maoni 0

SITA WAKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI

pembe za ndovu Na SAMWEL MWANGA-SIMIYU POLISI mkoani Simiyu linawashikilia watu sita  wakazi wa Kijiji cha Mwabagimu wilayani Meatu kwa tuhuma ya kupatikana na nyara za Serikali, ikiwamo silaha na pembe za ndovu More...

By Mtanzania Digital On Saturday, October 15th, 2016
Maoni 0

Dk. Shein asema ufisadi ni kikwazo cha maendeleo nchini

Na SAMWEL MWANGA-SIMIYU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema vitendo vya ufisadi na ubadhirifu vinavyofanywa na baadhi ya watumishi wa Serikali vinasababisha wananchi More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, October 12th, 2016
Maoni 0

Waziri: Sitaki mnialike kwenye semina, warsha

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenister Mhagama. Na Samwel Mwanga, Bariadi WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenister More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 6th, 2016
Maoni 0

Salumu Mwalimu, wenzake wapata dhamana

Na SAMWEL MWANGA -BARIADI MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imewapa dhamana viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho   Zanzibar, Salum Mwalimu. Hatua More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, July 6th, 2016
Maoni 0

Mahakama za kimila ‘Dagashida’ zatesa walimu  

Na SAMWEL MWANGA – SIMIYU MAHAKAMA za kimila, maarufu kwa jina la Dagashida, zinazoendeshwa na wazee wa kimila maeneo ya vijijini mkoani Simiyu, zimeendelea kuwa mwiba mkali kwa wafanyakazi, hasa walimu  kutokana More...

By france On Friday, March 11th, 2016
Maoni 0

Polisi afukuzwa kazi kwa kumtorosha mtuhumiwa

NA SAMWEL MWANGA, SIMIYU JESHI la Polisi, Mkoa wa Simiyu, limemfukuza kazi askari polisi mmoja kwa tuhuma za kumtorosha mtuhumiwa wa mauaji. Pia, askari wengine saba mkoani hapa wanaendelea kushikiliwa na jeshi More...

By france On Thursday, February 25th, 2016
Maoni 0

Siri majangili kutoroka yaanikwa

*Polisi walichapa usingizi, waziri aagiza uchunguzi Na Samwel Mwanga, Simiyu NI umafia wa aina yake uliofanikisha watuhumiwa watatu, wakiwamo wa ujangili na mauaji kutoroka kwa kutoboa tundu kwenye ukuta wa Kituo More...

By france On Wednesday, February 24th, 2016
Maoni 0

Kashfa nzito Jeshi la Polisi

*Watuhumiwa wa ujangili wabomoa ukuta mahabusu *Askari saba mbaroni kwa kuhusishwa na mikakati hiyo Na Mwandishi Wetu, Simiyu JESHI la Polisi mkoani Simiyu, limekumbwa na kashfa nzito, baada ya watuhumiwa watatu More...