SERIKALI YATAIFISHA KIWANDA CHA NYAMA

Na KADAMA MALUNDE- SHINYANGA SERIKALI mkoani Shinyanga imekitaifisha kiwanda cha nyama kilichopo Old Shinyanga kilichokuwa kinamilikiwa na mwekezaji raia wa kigeni kijulikanacho kama Triple ‘S’. Inadaiwa kuwa zaidi ya miaka 10 kiwanda hicho hakijawahi kufanya kazi iliyotarajiwa. Serikali ilimuuzia kiwanda hicho mwekezaji More...

by Mtanzania Digital | Published 3 weeks ago
By Mtanzania Digital On Thursday, March 30th, 2017
Maoni 0

WANAFUNZI WAKUMBWA NA MAPEPO SHULENI

Na KADAMA MALUNDE- KAHAMA WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Imesela, iliyopo Kata ya Imesela, Wilaya ya Shinyanga, wamekuwa wakipiga kelele shuleni bila sababu. Taarifa zilizopatikana shuleni hapo jana More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 17th, 2017
Maoni 0

DC SHINYANGA AKAGUA GHALA LA TAIFA

MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro Na KADAMA MALUNDE-SHINYANGA MKUU wa Wilaya ya Shinyanga mkoani hapa, Josephine Matiro, ametembelea ghala la kuhifadhia chakula Kanda ya Shinyanga,  huku akiwataka wananchi More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, January 11th, 2017
Maoni 0

JPM KUADHIMISHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AKIWA SHINYANGA

Rais Dk. John Magufuli akiwa amekaa na wananchi katika kibanda cha kushona na kung’arisha viatu kilichopo Stendi ya zamani Chato mkoani Geita. Kibanda hicho ndicho alikuwa aking’arisha viatu na kubadilishana More...

By Mtanzania Digital On Saturday, December 17th, 2016
Maoni 0

WANAKIJIJI 300 WACHARAZWA VIBOKO NA SUNGUSUNGU

Na KADAMA MALUNDE-SHINYANGA ZAIDI ya wananchi 300 wakazi wa Kijiji cha Welezo Kata ya Nsalala wilayani Shinyanga mkoani hapa, wameshambuliwa kwa kuchapwa viboko sehemu mbalimbali za mwili na wengine silaha za jadi More...

By Mtanzania Digital On Thursday, December 1st, 2016
Maoni 0

Mganga auawa akijaribu kumbaka mteja wake

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Jumanne Muliro Na KADAMA MALUNDE-Shinyanga MGANGA wa kienyeji, Kashinje Kashinje (55), mkazi wa Kijiji cha Singita, Shinyanga, ameuawa kwa kupigwa na wananchi baada ya kujaribu More...

By Mtanzania Digital On Sunday, August 21st, 2016
Maoni 0

Polisi yafukua kaburi la mtoto albino

Jumanne Muliro Na SAM BAHARI-SHINYANGA JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limelazimika kufukua kaburi la mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Michael Juma (2), aliyefariki na kuzikwa Agosti 14, mwaka huu kutokana More...

By Mtanzania Digital On Monday, August 1st, 2016
Maoni 0

Lembeli aibukia mkutano wa Magufuli

NA PAUL KAYANDA- KAHAMA MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kahama, James Lembeli, ameibukia katika mkutano wa Rais, Dk. John Magufuli, huku akimwomba kiongozi huyo kuhakikisha anakisafisha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Lembeli More...

By Mtanzania Digital On Thursday, June 2nd, 2016
Maoni 0

Fisi wafukua makaburi  

Na Kadama Malunde, Shinyanga MABAKI ya miili ya binadamu yameokotwa katika Mtaa wa Butengwa, Kata ya Ndembezi mkoani Shinyanga, baada ya makaburi ya watu wasiokuwa na ndugu kufukuliwa na fisi. Tukio hilo ambalo More...

By france On Friday, May 6th, 2016
Maoni 0

Watoto 10 wafanyiwa upasuaji wa kichwa

Na Kadama Malunde, Shinyanga WATOTO 10 waliobainika kuwa na matatizo ya vichwa vikubwa na mmoja mgongo wazi wamefanyiwa upasuaji na madaktari bingwa kutoka Taasisi ya Mifupa Moi, kati ya 35 mkoani Shinyanga. Upasuaji More...