MUME NA MKE WASUSIWA KUCHIMBA KABURI LA MTOTO WAO

NA AMON MTEGA, SONGEA WAKAZI wa Mtaa wa Namanyigu, Kata ya Mshangano, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma juzi waliwasusia wana ndoa  wawili kuchimba kaburi la kumzikia mtoto wao. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wanandoa hao walisusiwa kuchimba kaburi la mtoto wao aliyetajwa kwa jina la Danroad Mahundi (36) kwa madai kuwa kifo chake More...

by Mtanzania Digital | Published 2 months ago
By Mtanzania Digital On Saturday, January 7th, 2017
Maoni 0

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA BILIONI 1.09/-

Na Mwandishi Wetu- Ruvuma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amezindua mradi wa maji safi na tenki lenye uwezo wa kuhifadhi lita 200,000 utakaohudumia vijiji viwili vya Mkongotema na Magingo katika Kata ya Mkongotema, More...

By Mtanzania Digital On Friday, December 9th, 2016
Maoni 0

SERIKALI YAUTAKA MGODI WA URANI KUANZA UZALISHAJI

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani Na VERONICA SIMBA – NAMTUMBO SERIKILI imeuagiza Mgodi wa Mantra uliopo Namtumbo mkoani Ruvuma, kuanza uzalishaji wa madini ya urani ndani ya miaka miwili More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, November 8th, 2016
Maoni 0

Hali ya hewa yamtisha mkuu wa wilaya

Na FLORENCE SANAWA, TANDAHIMBA MKUU wa Wilaya ya Tandahimba, Sebastian Waryuba, ameshtushwa na taarifa ya hali ya hewa inayoonyesha kutakuwa na mvua chache mwaka huu. Kutokana na hali hiyo, amewaagiza madiwani wilayani More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, September 28th, 2016
Maoni 0

Vituo vya polisi kujengwa kila kata Mbeya – RPC

Na Pendo Fundisha, Mbeya JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limewaagiza wakuu wa polisi wa wilaya kutenga maeneo ya ardhi kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya polisi vya kata. Agizo hilo lilitolewa na Kamanda wa Polisi More...

By france On Wednesday, March 30th, 2016
Maoni 0

Askari polisi aliyeghusi cheti akimbia

NA MWANDISHI WETU, SONGEA JESHI la polisi mkoani Ruvuma, linamsaka askari wake wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mwenye namba F,5425 PC Emmanuel Nyagol (35) anayedaiwa kutoroka kwa tuhuma za kugushi vyeti wakati More...

By france On Thursday, September 10th, 2015
Maoni 0

Samia: Msiuze kura zenu kwa bei ya chumvi

NA SARAH MOSSI, RUVUMA MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuthamini kura zao na kutokubali kuziuza kwa bei rahisi inayofanana na chumvi. Samia, aliyasema hayo More...

By france On Wednesday, September 2nd, 2015
Maoni 0

Lowassa kupitia upya mikataba

MAELFU ya wakazi wa mji wa Songea mkoani Ruvuma, jana walifurika katika uwanja wa Matalawe kuhudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja More...

By france On Wednesday, September 2nd, 2015
Maoni 0

Magufuli: Nitashusha bei ya saruji, mabati

NA BAKARI KIMWANGA, TUNDURU MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema endapo atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano, atahakikisha anashusha bei ya saruji na mabati ili More...

By france On Tuesday, September 1st, 2015
Maoni 0

Magufuli: Wana CCM msibague vyama

NA BAKARI KIMWANGA, RUVUMA MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka wagombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, kutowabagua watu watakaowachagua kwa itikadi za vyama vyao. Alisema More...