UTAFITI VIASHIRIA VYA UKIMWI WAANZA PWANI

    NA GUSTAPHU HAULE UTAFITI wa viashiria vya maambukizi ya virusi vya Ukimwi umeanza mkoani Pwani huku kaya zilizoainishwa kufanyiwa utafiti huo zikitakiwa kutoa ushirikiano ili ukamilike kwa wakati. Meneja Takwimu wa Mkoa wa Pwani, Kalisto Lugome, alikuwa akiwaeleza waandishi wa habari jinsi utafiti huo utakavyotekelezwa.   Lugome More...

by Mtanzania Digital | Published 1 day ago
By Mtanzania Digital On Sunday, April 23rd, 2017
Maoni 0

UNDANI MAUAJI YA ASKARI WANANE WABAINIKA

Na Mwandishi Wetu – pwani TABIA ya usiri, hofu na itikadi kali za kidini vimehusishwa kuwa nyuma ya pazia la mauaji ya askari wa Jeshi la Polisi na viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji mkoani Pwani. Taarifa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, April 11th, 2017
Maoni 0

NYUMBA 100 CHALINZE ZAHARIBIWA NA MVUA

Na Mwandishi Wetu-PWANI MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani Majid Mwanga, amesema nyumba  zaidi ya nyumba 100 zilizopo Kata za Bwilingu eneo la Chalinze Mzee na Msoga zimeharibika na nyingine More...

By Mtanzania Digital On Thursday, March 9th, 2017
Maoni 0

WAZIRI NCHEMBA ANG’AKA POLISI KUUA RAIA

NA GUSTAPHU HAULE- PWANI WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua askari wa Wilaya ya Bagamoyo waliofanya mauaji kwa kuwapiga risasi vijana wawili More...

By Mtanzania Digital On Thursday, March 9th, 2017
Maoni 0

MAZISHI YA MAMA MDOGO WA KIKWETE YAWAKUTANISHA MAHASIMU

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, akizungumza na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati), alipohudhuriamazishi ya mama yake mdogo, Nuru Khalfan Kikwete yaliyofanyika Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kulia ni aliyekuwa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, February 23rd, 2017
Maoni 0

KACHERO WA POLISI AUAWA NA MAJAMBAZI

Na TUNU NASSOR-PWANI WATU watatu akiwamo OCCID wa Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, Peter Kubezya wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika Kijiji cha Jaribu mkoani More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 17th, 2017
Maoni 0

WAZIRI AWEKA JIWE LA MSINGI CHUO CHA KIJESHI

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi NA MWANDISHI WETU- Pwani WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa chuo cha kisasa cha More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 12th, 2017
Maoni 0

MABADILIKO SHERIA ZA UVUVI YAJA

Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba Na ASHA BANI, Bagamoyo SERIKALI inatarajia kuwasilisha Bungeni mabadiliko ya sheria na kanuni kwenye sekta ya mifugo kudhibiti wavuvi haramu na kuongeza pato More...

By Mtanzania Digital On Saturday, December 10th, 2016
Maoni 0

UBAKAJI WAONGEZEKA PWANI

NA GUSTAPHU HAULE, PWANI WIMBI la makosa ya ubakaji limezidi kuongezeka mkoani Pwani, kutoka 257 kwa takwimu za Januari hadi Septemba 2015 hadi kufikia 310 kwa Septemba 2016. Tofauti hiyo ni ya makosa 53, sawa More...

By Mtanzania Digital On Friday, December 9th, 2016
Maoni 0

TRAFIKI PWANI WAKUSANYA MIL 52/- BARABARANI

Na GUSTAPHU HAULE, PWANI JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani, Kitengo cha Usalama Barabarani, limekusanya Sh milioni 52 kutokana na makosa mbalimbali ya usalama barabarani yaliyotokea katika kipindi cha Novemba na Desemba, More...