NYUMBA YA MWALIMU KITETO YAGEUZWA DARASA

Na MOHAMED HAMAD-MANYARA NYUMBA ya mwalimu wa Shule ya Msingi Indorokoni, Kata ya Njoro wilayani Kiteto, Mkoa wa Manyara, imegeuzwa na kuwa darasa. Taarifa hiyo ilitolewa juzi na Diwani wa Viti Maalumu, Rehema Cheleleo (CCM), alipokuwa akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake. Alisema kwamba, nyumba hiyo imegeuzwa na kuwa darasa baada ya baadhi ya wafugaji More...

by Mtanzania Digital | Published 4 weeks ago
By Mtanzania Digital On Wednesday, October 25th, 2017
Maoni 0

VYOO BORA NI TATIZO KARATU

Na JANETH MUSHI -ARUSHA   SHIRIKA la Maendeleo Karatu (KDA),limetoa mafunzo  na kuhamasisha jamii wilayani Karatu kuwa na vyoo bora kila kaya kuepukana na magonjwa ya milipuko. Mratibu wa mradi huo, Alfred More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, October 25th, 2017
Maoni 0

WAZIRI KAMWELWE ATOA MAAGIZO SEKTA YA MAJI

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe, ameziagiza mamlaka za maji kote nchini kuhakikisha ifikapo mwishoni mwa Juni mwaka 2018, upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, October 25th, 2017
Maoni 0

WAZIRI AKERWANA RUSHWA VITUO VYA MIZANI

NA BENJAMIN MASESE- SHINYANGA SERIKALI imewaonya wafanyakazi wa mizani nchini   kuacha vitendo vya vitendo vya rushwa kuleta tija na ufanisi wa kazi zao katika usimamiaji na ulinzi wa barabara. Imesema ikiwa More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, October 25th, 2017
Maoni 0

MAAMBUKIZI YA MALARIA  YAPUNGUA MWANZA

Na JUDITH NYANGE MKOA wa Mwanza kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya umefanikiwa kupunguza kwa asilimia nne vifo vinavyotokana na   malaria kutoka asilimia 19.1 katika   miaka mine. Vifo hivyo vimefikia More...

By Mtanzania Digital On Monday, October 16th, 2017
Maoni 0

MFUMO WA TASAF WAPATA SIFA IGUNGA

Na Abdallah Amiri, Igunga BAADHI ya wanawake Wilayani Igunga mkoani Tabora waishio katika kaya masikini wameushukuru Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kwa msaada wa fedha wanazopatiwa kupitia mpango wa kunusuru More...

By Mtanzania Digital On Monday, October 16th, 2017
Maoni 0

TABORA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

Na MURUGWA THOMAS- TABORA RAIS Dk. John Magufuli amepongezwa kwa hatua anazoendelea kuchukua katika kuwaletea wananchi maendeleo, ikiwa ni pamoja na kukabiliana na vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma More...

By Mtanzania Digital On Saturday, October 7th, 2017
Maoni 0

DC ATUPWA NJE UJUMBE MKUTANO MKUU CCM TAIFA

Na ABDALLAH AMIRI-IGUNGA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, kimewapata viongozi wapya akiwemo mwenyekiti mwanamke na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali watakaokiongoza chama hicho kwa kipindi More...

By Mtanzania Digital On Thursday, October 5th, 2017
Oni 1

CCM YAWAONYA WATAKAOSHINDA KWA RUSHWA

Na GUSTAPHU HAULE-SINGIDA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, kimetangaza kuwafutia matokeo viongozi wa   ngazi ya wilaya na mkoa, wakiwamo wenyeviti ambao watabainika kushinda nafasi zao kwa kigezo cha  More...

By Mtanzania Digital On Thursday, September 28th, 2017
Maoni 0

WANANCHI SINGIDA KUEPUKANA NA KERO YA MAJI

Na MWANDISHI WETU-SINGIDA WANANCHI wa Kata ya Kinampanda, Wilaya ya Iramba mkoani Singida, wataondokana na kero ya huduma bora za afya baada ya ujenzi wa kituo cha afya katika kata hiyo kukamilika. Hayo yalisemwa More...

Translate »