VIGOGO SITA NJOMBE WANASA ANGA YA MAJALIWA

Na Mwandishi Wetu, Njombe WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ana taarifa za watendaji wakuu wa Wilaya ya Makete wakiwamo Mkurugenzi wa Halmashauri, Francis Namsumbo, Mweka Hazina, Edward Mdagachule, Ofisa Utumishi, Nicodemas Tindwa na Mkaguzi wa Ndani, Michael Shija, kuhusika na upotevu wa Sh milioni 71 zikiwamo Sh milioni 41 za Shirika More...

by Mtanzania Digital | Published 3 months ago
By Mtanzania Digital On Saturday, January 28th, 2017
Maoni 0

MAJALIWA AMWAGIZA SENDEKA AKUNJUE MAKUCHA

Na Mwandishi Wetu- Njombe WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher ole Sendeka, kuwachukulia hatua watumishi wa Ludewa waliohusika na upotevu wa fedha za maendeleo. Kauli More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, September 21st, 2016
Maoni 0

Ajali za mabasi zaua 254

NA RAYMOND MINJA, NJOMBE WIMBI¬† la ajali limezidi kumaliza maisha ya Watanzania, baada ya kutokea ajali 237 na kusababisha vifo vya watu 242 tangu Januari hadi Agosti, mwaka huu. MTANZANIA linaripoti Habari za More...

By france On Tuesday, September 1st, 2015
Maoni 0

Lowassa: Msiogope

NA MAREGESI PAUL, NJOMBE MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka Watanzania wasiogope kufanya mabadiliko ya More...

By france On Wednesday, June 10th, 2015
Maoni 0

152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR

NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu More...

By france On Thursday, May 21st, 2015
Maoni 0

Ulaya wamwaga neema Ludewa

Na Mwandishi Wetu, Ludewa NCHI za Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) zimetoa Sh bilioni 11.3 kwa ajili ya kusaidia kupeleka umeme kwa wananchi 50,000 wa vijiji 20 vya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe . Rais wa Shirika More...

By france On Thursday, May 21st, 2015
Maoni 0

Polisi wapambana na wananchi Njombe

Na Francis Godwin, Njombe JESHI la Polisi jana lililazimika kutumia zaidi ya saa 5.00 kupambana na wananchi waliokuwa wakiandamana bila kibali wakitaka kuchukua maiti ya mmoja wa wakazi wa Njombe aliyedaiwa kuuawa More...

By france On Tuesday, March 17th, 2015
Maoni 0

Daftari la NEC lasuasua Njombe

Na Michael Mapollu, Njombe HATUA ya uandikishwaji wa Daftari ya Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa Elektroniki (BVR) katika Mkoa wa Njombe, jana lilianza katika kata tatu za Mjimwema, Yakobi. Pamoja na kuanza uandikishaji More...

By france On Friday, February 27th, 2015
Maoni 0

Filikunjombe awavaa mawaziri wa JK

Na Mwandishi Wetu, Njombe MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewavaa mawaziri walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, hasa wanaotoka Mkoa wa Njombe, kwamba wameshindwa kuusaidia mkoa huo kuweza kupiga hatua More...