WATANO WAKAMATWA KWA NYAVU HARAMU SENGEREMA

    Na JUDITH NYANGE, JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watano kwa kupatikana na nyavu za makokoro wilayani Sengerema.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi, alisema watuhumiwa hao walikamatwa katika Kijiji na Kata ya Nyarwambo wilayani  ya Sengerema. Alisema  watu More...

by Mtanzania Digital | Published 1 day ago
By Mtanzania Digital On Thursday, April 20th, 2017
Maoni 0

TISA MBARONI KWA KUVUNJA NYUMBA, WIZI

  Na JUDITH NYANGE, JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu tisa  kwa tuhuma za  kujihusisha  na uvunjaji wa  nyumba  na kuiba mali wilayani Ilemela.   Kamanda More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 20th, 2017
Maoni 0

MISUNGWI YATENGA MILIONI 240/- KUJENGA SEKONDARI

  Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Eliud Mwaiteleke   Na PETER FABIAN, HALMASHAURI ya Wilaya ya Misungwi, imetenga Sh milioni 240 kwa ajili ya kujenga sekondari za kidatu cha sita kwa tarafa More...

By Mtanzania Digital On Sunday, April 16th, 2017
Maoni 0

VIONGOZI 160 KANDA YA ZIWA BADO HAWAJATANGAZA MALI ZAO

Na CLARA MATIMO-MWANZA JUMLA ya viongozi 160 wa kada za utumishi wa umma pamoja na kada ya siasa kutoka Kanda ya Ziwa, bado hawajatekeleza takwa la kisheria linalowataka kutoa tamko la mali na madeni yao More...

By Mtanzania Digital On Sunday, April 9th, 2017
Maoni 0

MBARONI KWA KUMBAKA MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI

Na JUDITH NYANGE – MWANZA JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Samweli Masumbuko (32), Mkazi wa Kata ya Mahina wilayani Nyamagana, kwa tuhuma za kumbaka  mwanafunzi wa darasa la pili More...

By Mtanzania Digital On Sunday, February 26th, 2017
Maoni 0

SABA WANASWA DAWA ZA KULEVYA

Na JUDITH NYANGE-MWANZA JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kukutwa na kete 32 za dawa za kulevya zinazodhaniwa kuwa ni heroine, kilo mbili na nusu za More...

By Mtanzania Digital On Friday, February 17th, 2017
Maoni 0

SAMIA AUNGA MKONO VITA DAWA ZA KULEVYA

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan Na Mwandishi Wetu-MWANZA MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, ameunga mkono jitihada za kupambana na dawa za kulevya, kama hatua ya kuliokoa taifa na janga hilo ambalo limesababisha More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, February 14th, 2017
Maoni 0

MONGELLA AVUNJA KIKAO CHA WADAU WA ELIMU

Na JUDITH NYANGE, MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella  jana alilazimika kuvunja kikao cha wadau wa elimu wa mkoa  baada ya wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, maofisa elimu wa msingi More...

By Mtanzania Digital On Thursday, February 2nd, 2017
Maoni 0

BOMBARDIER YAZUA KIZAZAA MWANZA

Na  BENJAMIN MASESE-MWANZA NDEGE  ya  Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombardier Q Dash 400 namba   5H TCB, juzi ilizua taharuki kwa abiria baada ya kushindwa kuruka katika More...

By Mtanzania Digital On Sunday, January 22nd, 2017
Maoni 2

MUSWADA WA SHERIA MPYA YA MADAKTARI WAZUA HOFU

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Na FREDERIC KATULANDA-MWANZA ¬†MADAKTARI wasaidizi na matabibu wameishauri Serikali kutafakari uamuzi wake wa kutowatambua kama madaktari More...