JPM AZUIA ZABUNI KAMPUNI BINAFSI TPA

AGATHA CHARLES na FLORENCE SANAWA, DAR ES SALAAM/ MTWARA RAIS Dk. John Magufuli ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuachana na utaratibu wa kutoa zabuni za uendeshaji wa bandari kwa kampuni binafsi ambazo huingia mikataba isiyo na manufaa kwa nchi na kusababisha mianya ya upotevu wa fedha za umma. Agizo hilo alilitoa More...

by Mtanzania Digital | Published 2 months ago
By Mtanzania Digital On Sunday, January 22nd, 2017
Maoni 0

TANESCO YANASA NYUMBA YA MBUNGE IKIIBA UMEME

NA FLORENCE SANAWA – MTWARA SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limebaini wizi wa umeme katika nyumba ya aliyekuwa Mbunge wa Mtwara Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hasnain Murji. Mhandisi wa Tanesco More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 6th, 2017
Maoni 0

POLISI MTWARA WAKAMATA SHEHENA YA KOROSHO

NA FLORENCE SANAWA, MTWARA     MAMLAKA ya Bandari Mkoa wa Mtwara, wamelazimika kuzuia magari mawili yenye magunia ya korosho 350 sawa na tani 29, baada ya kubainika mihuri iliyotumika kwenye vibali ni ya More...

By Mtanzania Digital On Friday, December 30th, 2016
Maoni 0

SERIKALI ITAMLINDA MTOTO WA KIKE – MAJALIWA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa. Na Mwandishi Maalumu-LINDI WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana inasisitiza waachwe wasome hadi wamalize kidato cha sita. Kauli More...

By Mtanzania Digital On Saturday, December 10th, 2016
Maoni 0

MOTO WATEKETEZA BWENI SHULE YA UFUNDI MTWARA

NA FLORENCE SANAWA, MTWARA MOTO ambao chanzo chake bado hakijabainika umeteketeza bweni la Shule ya Ufundi Mtwara, lenye vyumba 32, vitanda 232 na magodoro 193. Akizungumzia tukio hilo jana, Mkuu wa Shule hiyo, More...

By Mtanzania Digital On Friday, December 9th, 2016
Maoni 0

WATOTO WENYE ULEMAVU MTWARA WANASOMA MZUNGU WA NNE

Ofisa Elimu Maalumu Manispaa ya Mtwara Mikindani, Ally Ndale (kulia) akisaidiana na Ofisa Tarafa Wilaya ya Mtwara, Octavian Lipimbile (kushoto) kufunga kifaa cha kumwezesha kusikia mwanafunzi wa Shule ya Msingi More...

By Mtanzania Digital On Monday, August 1st, 2016
Maoni 0

TPA yaboresha Bandari ya Mtwara

Na Mwandishi Wetu, Mtwara MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeanza kuboresha miundombinu katika Bandari ya Mtwara na bandari ndogo za Lindi na Kilwa ili kunufaika na fursa kubwa zilizopo katika mikoa More...

By france On Tuesday, March 29th, 2016
Maoni 0

Waziri aja juu daktari kupigwa

Na Waandishi Wetu, Dar,  Mtwara WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kuhakikisha ndugu wa mgonjwa waliompiga daktari akiwa kazini, wakamatwe More...

By france On Tuesday, January 5th, 2016
Maoni 0

Wanachama Simba wamtaka Kopunovic

NA BARAKA JAMALI, MTWARA WANACHAMA wa klabu ya Simba Mtwara, wameuomba uongozi wa timu hiyo umrudishe kocha wao wa zamani, Goran Kopunovic, ili kuweza kuirejesha heshima ya timu hiyo ya kuchukua ubingwa wa Ligi More...

By france On Monday, December 21st, 2015
Maoni 0

TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo

NA FLORENCE SANAWA, MTWARA SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati More...