VIWAVI JESHI WAVAMIA MASHAMBA MOROGORO

Na LILIAN JUSTICE- MOROGORO WANANCHI katika vijiji vinne vilivyopo Kata ya Bwakila Chini, Wilaya ya Morogoro, viko hatarini kukumbwa na njaa baada ya mazao yao kuvamiwa na viwavi jeshi. Uwepo wa wadudu hao ulielezwa juzi na baadhi ya wananchi hao walipokuwa wakizungumza na MTANZANIA. Wananchi hao, Etros Munyi na Yassin Mnungu, walisema More...

by Mtanzania Digital | Published 7 days ago
By Mtanzania Digital On Wednesday, March 8th, 2017
Maoni 0

POMBE ZA VIROBA ZAITWA ‘NGURUKA’

Na RAMADHAN LIBENANGA- MOROGORO WAFANYABIASHARA wa vileo mkoani Morogoro, wamebadili jina la pombe inayofungashwa katika mifuko ya plastiki maarufu viroba kwa kuiita ‘nguruka’ kukwepa mkono More...

By Mtanzania Digital On Thursday, February 23rd, 2017
Maoni 0

WANAKIJIJI MVOMERO WATEMBEA KILOMITA 20 KUPATA MATIBABU

Na Lilian Justice, KIJIJI cha Kisimaguru  wilayani Mvomero katika Kata ya Hembeti kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa zahanati, imefahamika Hali hiyo husababisha wagonjwa kubebwa More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, February 15th, 2017
Maoni 0

WATAKAOHARIBU MIUNDOMBINU TTCL KUSHTAKIWA

NA LILIAN JUSTICE, MOROGORO SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro, imesema itachukua hatua kali kwa watu watakaokamatwa wakihujumu miundombinu ya Kampuni ya Simu Tanzania (TCCL). Onyo hilo limetolewa jana na Mkuu More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 20th, 2017
Maoni 0

BAYPORT ILIVYOIKOMBOA SEKTA YA ELIMU MOROGORO

Meneja masoko na Mawasiliano wa Bayport, Ngulu Cheyo (kushoto), akimkabidhi Kompyuta Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Stephen Kebwe. Na Mwandishi Wetu, UHITAJI wa vitendea kazi vya kisasa, zikiwamo kompyuta ni jambo More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 10th, 2017
Maoni 0

WATU 200 WAKAMATWA KWA UJANGILI

Na ASHA BANI-MOROGORO WATU zaidi ya 200 wamekamatwa katika kipindi cha mwaka jana kutokana na makosa ya kukutwa na nyara mbalimbali za Serikali. Pia zaidi ya Sh milioni 800 hadi 900 zilipatikana kutokana na faini More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 3rd, 2017
Maoni 0

MKULIMA MWINGINE AJERUHIWA KWA SIME KILOSA

Na RAMADHAN LIBENANGA- KILOSA MTU mmoja mkazi wa Kijiji cha Mamoyo, Kata ya Mabwerebwere, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, Omary Sululu (52), amenusurika kifo baada ya kukatwakatwa na sime kichwani na watu More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 27th, 2016
Maoni 0

ULANGA, KILOMBERO WAPITISHA MPANGO WA ARDHI

William Lukuvi Na Ramadhan Libenanga-Kilombero VIJIJI sita vilivyopo katika wilaya za Kilombero na Ulanga mkoani Morogoro vimepanga na kupitisha mpango wa matumizi bora ya ardhi ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 27th, 2016
Maoni 0

MGOGORO WA ARDHI: UKATILI WA KUTISHA, MKULIMA ACHOMWA MKUKI MDOMONI

Mkazi wa Kijiji cha Dodoma Isanga, Agustino Mtuti akiwa na kipande cha mpini wa mkuki aliochomwa mdomoni na wafugaji wilayani Kilosa mkoani Morogoro juzi. Picha ndogo kulia ikionyesha sehemu ulipotokea, baada ya More...

By Mtanzania Digital On Monday, December 19th, 2016
Maoni 0

MBUNGE ABOOD AWAPA SOMO WANAHABARI

Na Ramadhan Libenanga -MOROGORO MBUNGE wa Morogoro Mjini, Aziz Abood (CCM), amewataka wanahabari mkoani hapa wahakikishe wanaisoma kwa makini Sheria ya Huduma kwa vyombo vya Habari ya mwaka 2016 ili waweze kuandika More...