WATUMIAJI DAWA ZA KULEVYA MBEYA WAONGEZEKA

Na IBRAHIM YASSIN- MBEYA IDADI ya watumiaji wa dawa za kulevya Mkoa wa Mbeya, imeendelea kuongezeka. Idadi hiyo imeongezeka kutoka   asilimia 20 hadi kufikia asilimia 25 kwa miaka  tofauti. Takwimu hizo zimetolewa jana na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Afya ya Akili, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, More...

by Mtanzania Digital | Published 2 months ago
By Mtanzania Digital On Friday, February 17th, 2017
Maoni 0

MFANYABIASHARA MBARONI KWA DAWA ZA KULEVYA

Na PENDO FUNDISHA, MBEYA MFANYABIASHARA maarufu jijini Mbeya, Steven Samweli maarufu kwa jina la Maranatha, ametiwa nguvuni akituhumiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Kutiwa nguvuni kwa More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, February 8th, 2017
Maoni 0

MWANAFUNZI AKAMATWA NA KETE 15 MBOZI

Na mwandishi wetu – mbeya JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari Sanani iliyopo Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Anitha Abel (21) kwa tuhuma za More...

By Mtanzania Digital On Friday, February 3rd, 2017
Maoni 0

NG’OMBE AUA KIKONGWE

Na Ibrahim Yassin -Rungwe WANANCHI wa Kijiji cha Mwela wilayani  Rungwe mkoani Mbeya, wameingia kwenye hali ya sintofahamu baada  ya mwanakijiji  mwenzao, Elizabeth Timba (80), kufariki dunia More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 6th, 2017
Maoni 0

AMUUA MKEWE KWA WIVU WA MAPENZI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Dhahiri Kidavashari Na Ibrahim Yassin-Kyela   MKAZI wa Kitongoji cha Mikumi Wilaya ya Kyela, Tumbwiza Tweve (43) ameyakimbia makazi yake baada ya kudaiwa kumuua mkewe Hilda More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 3rd, 2017
Oni 1

IDARA YA MAJI MBEYA YAPEWA ONYO

Na PENDO FUNDISHA-MBEYA SERIKALI mkoani Mbeya imezuia makato ya ankara ya maji yaliyokuwa yakikatwa kwa wananchi wa Mji mdogo wa Ipinda hadi pale mamlaka husika itakapofikisha huduma hiyo. Uamuzi huo umetolewa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, December 22nd, 2016
Maoni 0

SH MILIONI 85 ZAHITAJIKA CHUMBA CHA MAITI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Sophia Kumbuli Na ELIUD NGONDO, CHUNYA ZAIDI ya Sh milioni 85 zinahitajika katika Hospitali ya Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa chumba More...

By Mtanzania Digital On Sunday, December 18th, 2016
Maoni 0

GARI LA MBUNGE LAGONGA NA KUUA

Na PENDO FUNDISHA -MBEYA GARI lenye namba za usajili T 161 CPP Toyota Land Cruiser linalodaiwa kumilikiwa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Chadema), maarufu Sugu, limemgonga mtembea kwa miguu katika kivuko More...

By Mtanzania Digital On Thursday, December 15th, 2016
Maoni 0

WANAWAKE WAWAFANYIA UKATILI WANAUME

Na ROSE CHAPEWA, MBEYA WANAUME 111 mkoani Mbeya wameripoti kufanyiwa ukatili wa kimwili, huku wengine 14 wakidaiwa kufanyiwa ukatili wa kingono na wenza wao. Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Dk. More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, December 7th, 2016
Maoni 0

WENYE MABASI KUANZA KUTUMIA EFDs

Na PENDO FUNDISHA, MBEYA MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), Mkoa wa Mbeya, imewataka wamiliki wa mabasi ya abiria kwenda mikoani na wilayani, kuhakikisha wanawasilisha taarifa za mabasi More...