WAWINDAJI HARAMU 570 WAKAMATWA SERENGETI

NA TIMOTHY ITEMBE, WAWINDAJI haramu 570 wamekamatwa katika Hifadhi ya Serengeti kwa miezi sita mwaka jana kuanzia Julai hadi Desemba. Hayo yalielezwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa, James Mbugi ambaye pia ni meneja ujirani mwema wa shirika hilo . Alikuwa akikabidhi mradi wa bwawa la maji katika vijiji More...

by Mtanzania Digital | Published 2 months ago
By Mtanzania Digital On Sunday, January 15th, 2017
Maoni 0

KICHANGA CHA SIKU TANO CHAFARIKI KWA KUKEKETWA

Na SAFINA SARWATT- MOSHI MTOTO mchanga wa siku tano amefariki dunia baada ya kufanyiwa kitendo cha ukeketaji na bibi yake aliyejulikana kama Longida Naingola mkazi wa Kijiji cha Naibera, wilayani Simanjiro, Mkoa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 5th, 2017
Maoni 0

NDEGE YAANGUKA NA KUTEKETEA KWA MOTO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Philip Kalangi   Na Mwandishi Wetu-Serengeti WATU wa saba waliokuwa kwenye ndege moja aina ya Cessna Caravan yenye namba za usajili F 406  yenye uwezo wa kubeba abiria 12 mali More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 27th, 2016
Maoni 0

WAZEE BABATI WAIANGUKIA SERIKALI

Na JANETH MUSHI- BABATI SERIKALI imeombwa kujenga zahanati katika kituo cha kulelea wazee wasiojiweza katika Kata ya Magugu, wilayani Babati, Mkoa wa Manyara. Ombi hilo lilitolewa hivi karibuni na wazee hao ambao More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, December 7th, 2016
Maoni 0

MAJALIWA: MSIHIFADHI FEDHA MAJUMBANI

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa Na MWANDISHI WETU, MANYARA WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka wananchi kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyingi majumbani na badala yake wajenge utamaduni wa kuzipeleka benki. Waziri More...

By Mtanzania Digital On Thursday, December 1st, 2016
Maoni 0

Foleni siku mbili kupata maji Kiteto

Wanawake jamii ya wafugaji wakisubiri kuchota maji Na MOHAMED HAMAD-MANYARA WILAYA ya Kiteto ilizinduliwa mwaka 1974, wakati huo kulikuwa na idadi ya watu 12,000, hivi sasa idadi ya watu imeongezeka na kufikia zaidi More...

By Mtanzania Digital On Saturday, November 19th, 2016
Maoni 0

WANANCHI MANYARA WAZICHAPA WAKIGOMBEA MPAKA

Na MOHAMED HAMAD, KILINDI KAMANDA wa Polisi mkoani Manyara, Francis Masawe, amezima mapigano kati ya wananchi wa Kijiji cha Lembapuli, wilayani Kiteto, mkoani Manyara na Kijiji cha Mafisa, kilichopo Wilaya ya Kilindi, More...

By Mtanzania Digital On Friday, November 11th, 2016
Maoni 0

Wananchi wafunga mgodi wa Tanzanite

Na ELIYA MBONEA, Mererani SHUGHULI za uzalishaji na uchimbaji wa madini ya Tanzanite katika mgodi wa Kampuni ya Sky Associate, zamani Tanzanite One katika mji wa Naisinyai Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, More...

By Mtanzania Digital On Thursday, September 15th, 2016
Maoni 0

Watumishi Kiteto wapata hofu ya ushirikina

Na MOHAMED HAMAD, KITETO SERIKALI wilayani  Kiteto, mkoani Manyara, imewataka wananchi kuacha kuwatishia watumishi wa Serikali kwa imani  za kishirikina,  hali inayowafanya waogope na  kukimbia makazi yao. Akizungumza More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, August 2nd, 2016
Maoni 0

RC Bendera atoa maelekezo Bima ya Afya

Na ELIYA MBONEA, MANYARA VIONGOZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wametakiwa kuhakikisha kaya 40,642 zinajiunga kwenye Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kabla ya Desemba mwaka huu. Agizo hilo lilitolewa More...