NAPE: TUTAPATA SHIDA 2020

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), akilia baada ya kutakiwa apite kwenye migongo ya wanawake waliolala chini, wakati akielekea jukwaani kuwahutubia wananchi wa jimbo hilo jana. Na Florence Sanawa – Lindi ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, amesema matendo ya utekaji nyara wananchi yasipotatuliwa yatakipa More...

by Mtanzania Digital | Published 3 weeks ago
By Mtanzania Digital On Saturday, March 4th, 2017
Maoni 0

SALMA KIKWETE AFUNGUKA UBUNGE WAKE

Na ALLY BADI -LINDI MKE wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Salma Kikwete,  amemshukuru  Rais  Dk. John  Magufuli  kwa kumwona na kumteua kuwa  mbunge  wa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 19th, 2017
Maoni 0

MPINZANI WA NAPE 2015 AFUNGWA JELA

NA ALLY BADI- LINDI MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi, imemuhukumu kwenda jela miezi nane, Suleiman Mathew ambaye alikuwa mpinzani wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka More...

By Mtanzania Digital On Saturday, November 19th, 2016
Maoni 0

Maalim Seif aenda kufuata nyayo za Lipumba

  NA FLORENCE SANAWA, MTWARA KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, leo anatarajia kuanza ziara ya siku mbili mkoani Mtwara ambako pamoja na mambo mengine, atazungumzia mwelekeo More...

By Mtanzania Digital On Thursday, October 20th, 2016
Maoni 0

Waziri mkuu kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mhandisi wa maji Lindi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa Na Mwandishi Wetu, Lindi WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Lindi (LUWASA), Mhandisi Adam Alexander kwa matumizi mabaya ya ofisi pamoja na More...

By Mtanzania Digital On Saturday, October 15th, 2016
Maoni 0

Samaki ajabu aonekana Kilwa

NA EVANS MAGEGE SAMAKI mkubwa na wa ajabu ambaye aina yake hajatambulika mara moja ameonekana katika fukwe ya Bahari ya Hindi katika eneo la Kilwa Masoko, Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi. Kwa mujibu wa watu waliomshuhudia More...

By Mtanzania Digital On Monday, October 10th, 2016
Maoni 0

Umasikini chanzo cha watoto kutosoma

ALLY  BADI,  KILWA UMASIKINI wa kipato,kilimo cha kuhamahama  kwa  baadhi ya wazazi na walezi kudaiwa kunachangia watoto wasiandikishwe shule  na  uwapo wa maendeleo duni ya ufaulu kwa wanafunzi wa shule More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 5th, 2016
Maoni 0

RC Zambi atumia jeshi kufanya usafi

MKUU wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. NA FLORENCE SANAWA, LINDI MKUU wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, amejikuta akitumia Jeshi la Polisi kukusanya wananchi ili wafanye usafi katika maeneo yao hususani barabarani. Hatua More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 22nd, 2016
Maoni 0

Gari la polisi lachomwa moto

Renata Mzinga NA ALLY BADI, LIWALE GARI la polisi wilayani hapa, limeteketea kwa moto baada ya kuchomwa na wafanyabiashara wa nguo. Tukio hilo lilitokea juzi saa sita mchaka katika Kijiji cha Litou wakati wafanyabiashara More...

By france On Monday, December 21st, 2015
Maoni 0

Majaliwa: Tutawang’oa wabadhirifu

Na Mwandishi Wetu, Lindi WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewaonya watendaji wa halmashauri nchini  ambao watabainika kutumia vibaya fedha za Serikali na kusema kuwa watang’olewa kazini. Kauli hiyo aliitoa jana More...