NDUGAI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA DK. MACHA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa (kushoto), akisalimiana na Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, wakati wa mazishi ya Mbunge wa Viti Maalumu wa Chama hicho, Dk. Elly Macha, yaliyofanyika kwenye makaburi ya familia katika kijiji cha Kirua Vunjo mkoani Kilimanjaro. Katikati ni Spika wa Bunge, Job Ndugai.   Na Safina Sarwatt – More...

by Mtanzania Digital | Published 5 days ago
By Mtanzania Digital On Saturday, April 15th, 2017
Maoni 0

BABA WA BEN SAANANE ASEMA WAMEGONGA MWAMBA

Na UPENDO MOSHA, MOSHI SIKU chache baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, kuliambia Bunge kuwa Serikali haijui kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ben Saanane aliko na zaidi More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

JANUARY ATAJA ENEO HATARISHI SAME

Na Dennis Luambano – Same WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba, amesema anakusudia kulitangaza eneo la Ndolwa lililopo Kata ya Mamba Myamba, Wilaya ya Same More...

By Mtanzania Digital On Monday, February 6th, 2017
Maoni 0

MADIWANI WAMKALIA KOONI DED

Na Upendo Mosha, Rombo MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, wamemtuhumu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Magerth John, kwa kushindwa kufuata kanuni na  maadili ya utumishi More...

By Mtanzania Digital On Sunday, January 22nd, 2017
Maoni 0

JANGA JINGINE KWA MBOWE

Na OMARY MLEKWA-HAI MIEZI takribani mitano tangu aondolewe Bilicanas, siku moja tangu Serikali imzuie asiendelee na shughuli za kilimo katika shamba lake, jana tena Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amepewa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, January 7th, 2017
Maoni 0

MIL. 800/- KUJENGA WODI YA WAZAZI SIHA

Na OMARY MLEKWA- SIHA WAKAZI wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kushirikiana na Serikali ili kukamilisha ujenzi wa wodi ya akinamama, watoto na upasuaji hali itakayosaidia kuboresha huduma wilayani More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 6th, 2017
Maoni 0

MIGOGORO YA MAJI YAZIDI KUONGEZEKA

Na UPENDO MOSHA- MOSHI   OFISI za Bonde la Mto Pangani, mkoani Kilimanjaro, imekiri kuwapo kwa ongezeko kubwa la migogoro kati ya wakulima na wananchi wa kawaida inayosababishwa na uhaba wa maji. Akizungumza More...

By Mtanzania Digital On Thursday, December 15th, 2016
Maoni 0

BABA AUA WANAWE KWA PANGA, NAYE AJINYONGA

Na Safina Sarwatt, Same WATOTO wawili wenye umri wa miaka mitatu na sita wa Kijiji cha Patane Kata ya Mambamiamba wilayani Same,  wameuawa kwa kuchinjwa na panga na baba yao mzazi Yohana Greson (26) na yeye mwenyewe More...

By Mtanzania Digital On Sunday, December 11th, 2016
Maoni 0

18 WANASWA UFISADI WA BIL. 2.6/-

Safina Sarwatt na Upendo Mosha – Kilimanjaro TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kilimanjaro, imebaini ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 2.6 katika tuhuma 18 zilizohusisha viongozi waandamizi More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 6th, 2016
Maoni 0

MZEE AMBAKA MTOTO WA MIAKA MINNE

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Koka Moita   Na Upendo Mosha, Hai JESHI la polisi mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mwanamume mmoja Severini Elius(57), mkazi wa Kijiji cha Mabogini wilayani Moshi More...