BOTI YAPOTEA ZIWANI NA WATU SITA

Na Editha Karlo-Kigoma BOTI ya mizigo iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo eneo la  Kalemi imepotea katika ziwa Tanganyika ikiwa na watu sita. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu tukio hilo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdnand Mtui, alisema boti hiyo ilikuwa na shehena ya More...

by Mtanzania Digital | Published 3 months ago
By Mtanzania Digital On Friday, January 27th, 2017
Maoni 0

NYAVU HARAMU ZA MIL 480/- ZAKAMATWA

Na EDITHA KARLO, KIGOMA NYAVU haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 480. 6, zimekamatwa katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na Manispaa ya Kigoma Ujiji na kuteketezwa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 17th, 2017
Maoni 0

WASTAAFU WALILIA NYONGEZA YA PENSHENI

Mkaguzi Mkuu Msaidizi wa Ndani wa Serikali, Stanslaus Mpembe Na Editha Karlo – Kigoma WATUMISHI wastaafu wa Serikali wanaolipwa fedha zao kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, wameitaka Serikali kurekebisha More...

By france On Thursday, May 5th, 2016
Maoni 0

Hukumu kesi ya Kafulila Mei 17

Na Karume Malembeka, Kigoma MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora inayosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, More...

By france On Tuesday, April 5th, 2016
Maoni 0

Kesi ya David Kafulila yaiva

Na Editha Karlo, Kigoma MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya  Tabora jana iliendelea kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwa kuwataka mlalamikaji na mlalamikiwa kuwasilisha vielelezo More...

By france On Tuesday, March 15th, 2016
Maoni 0

Mnyukano kesi ya Wenje, Kafulila

Judith Nyange, Mwanza na Editha Karlo, Kigoma KESI namba 3 ya mwaka 2015 ya kupinga matokeo ya uchaguzi Jimbo la Nyamagana, imeanza kusikilizwa huku kiapo cha ushahidi wa aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia More...

By france On Thursday, March 10th, 2016
Maoni 0

Hasna akwamisa kesi ya Kafulila

Na Editha Karlo, Kigoma KESI namba mbili ya mwaka 2015 ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa na David Kafulila, jana imeshindwa kuendelea kusikilizwa kwa mara ya pili kutokana na More...

By france On Monday, February 22nd, 2016
Maoni 0

Kesi ya Kafulila kuunguruma leo

Na Mwandishi Wetu, Kigoma KESI ya kupinga matokeo ya jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa Novemba 2015 katika Mahakama Kuu kanda ya Tabora   itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia leo, mbele ya Jaji Dk. Wambura More...

By france On Thursday, September 10th, 2015
Maoni 0

89 hoi kwa kunywa juisi harusini

Na Editha Karlo, Kigoma WAKAZI 89 wa Kijiji cha Rugunga, Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo, baada ya kunywa juisi ya kienyeji inayosadikiwa kuwa na sumu wakati wa sherehe More...

By france On Saturday, September 5th, 2015
Maoni 0

Lowassa atikisa ngome ya Zitto

NA MAREGESI PAUL, KIGOMA MAFURIKO ya mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana yalihamia katika Mji wa Kigoma ambako Zitto Kabwe anagombea ubunge kupitia Chama cha ACT- Wazalendo. Kama More...