UKATA WAKWAMISHA KESI 60 ZA MAUAJI KUSIKILIZWA

Na Walter Mguluchuma -Katavi KESI 60 za tuhuma za mauaji zimeshindwa kuanza kusikilizwa mkoani Katavi na Mahakama Kuu ya Sumbawanga kwa kipindi cha miaka miwili kutokana na mahakama kukosa fedha za kuziendeshea. Hayo yamesemwa jana na Kaimu Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Katavi, Chiganga Ntengwa, wakati wa maadhimisho ya Siku More...

by Mtanzania Digital | Published 3 months ago
By Mtanzania Digital On Tuesday, January 17th, 2017
Oni 1

MKE AMVUNJA MGUU MUMEWE

Na Walter Mguluchuma-Katavi MKAZI wa Kijiji cha Uzega Tarafa ya Inyonga  wilayani  Mlele mkoani Katavi, Mashaka   Kianga,  amejeruhiwa vibaya mguu wake wa kushoto hadi kuvunjika, baada ya kupigwa na  rungu More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 5th, 2017
Maoni 0

OFISA WANYAMAPORI AJERUHI MTU KWA RISASI

Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Rukwa, George Kyando Na WALTER MGULUCHUMA- KATAVI   MTU mmoja aliyejulikana kwa jina la Salaganda Kipeta, mkazi wa Tarafa ya Kipeta, Wilaya ya Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, amejeruhiwa vibaya kwa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, October 27th, 2016
Maoni 0

January ashuhudia uharibifu mkubwa wa mazingira Katavi

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba Na Mwandishi Wetu, Katavi WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba, ameshuhudia uharibifu More...

By Mtanzania Digital On Saturday, October 15th, 2016
Maoni 0

Gobole, bangi zamkamatisha diwani, mkewe

Na Walter Mguluchuma- Sumbawanga JESHI la Polisi Mkoa wa Rukwa linamshikilia Diwani wa Kata ya Izia (Chadema), Pascal Silwimba (41) na  mkewe Dorisi Karugu (36) kwa kukutwa na gobole na robo kilo za dawa za kulevya More...

By Mtanzania Digital On Saturday, October 1st, 2016
Maoni 0

Jela miaka 90 kwa kuiba Sh milioni sita

Na WALTER MGULUCHUMA- KATAVI MAHAKAMA ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka 90 jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kupora zaidi ya Sh milioni More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 26th, 2016
Maoni 0

Wanawake 270 wafariki kwa uzazi

Na Walter Mguluchuma, Katavi ZAIDI ya Wanawake 270 wamefariki dunia mkoani  hapa katika kipindi cha mwaka  2015/16, kutokana na vifo vinavyotokana na uzazi. Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mganga Mkuu More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 23rd, 2016
Maoni 0

Atokwa haja ndogo mahakamani baada ya kuhukumiwa miaka 40 jela

Na WALTER MGULUCHUMA-KATAVI MSHTAKIWA wa kwanza, Nzira Luhemeja (42), alitokwa na haja ndogo mahakamani baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 40 jela kwa kukutwa na nyama ya Kiboko kilo 70 ndani ya Hifadhi More...

By Mtanzania Digital On Monday, August 22nd, 2016
Maoni 0

Majaliwa awaonya wakimbizi Katavi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa Na MWANDISHI WETU, MPANDA WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania na kuutumia vibaya, watanyang’anywa uraia huo na kurudishwa walikotoka. Kutokana More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 8th, 2016
Maoni 0

Watanzania kujifunza ufugaji Rwanda

NA WALTER MGULUCHUMA, Mpanda CHAMA cha Wafugaji Tanzania (CCWT)  mkoani Katavi, kinatarajia kuwapeleka  Rwanda  baadhi ya wanachama wao  wakajifunze ufugaji bora. Taarifa hiyo ilitolewa juzi na Mwenyekiti wa   More...