WAZIRI AKERWANA RUSHWA VITUO VYA MIZANI

NA BENJAMIN MASESE- SHINYANGA SERIKALI imewaonya wafanyakazi wa mizani nchini   kuacha vitendo vya vitendo vya rushwa kuleta tija na ufanisi wa kazi zao katika usimamiaji na ulinzi wa barabara. Imesema ikiwa watumishi hao watafanya kazi  kwa weledi na  uadilifu Serikali  itaendelea kunufaika na miundombinu yake ya barabara na mizani ambayo imegharimu More...

by Mtanzania Digital | Published 4 weeks ago
By Mtanzania Digital On Wednesday, October 25th, 2017
Maoni 0

MAAMBUKIZI YA MALARIA  YAPUNGUA MWANZA

Na JUDITH NYANGE MKOA wa Mwanza kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya umefanikiwa kupunguza kwa asilimia nne vifo vinavyotokana na   malaria kutoka asilimia 19.1 katika   miaka mine. Vifo hivyo vimefikia More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 26th, 2017
Maoni 0

MAWAKALA WA PEMBEJEO WAONYWA

Na AHMED MAKONGO -BUNDA HALMASHAURI ya Wilaya ya Bunda, imewaonya mawakala wanaosambaza pembejeo za kilimo kutofanya hujuma ya aina yoyote   msimu huu wa kilimo, hususan mbegu za mazao mbalimbali. Onyo hilo lilitolewa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 26th, 2017
Maoni 0

WAZIRI ATOBOA CHANZO MIGOGORO ARDHI

Na SAM BAHARI -SHINYANGA NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,   Angelina Mabula amesema ukiukaji wa sheria, sera na taratibu zinazosimamia ugawaji na umiliki wa hati za ardhi ndiyo chanzo cha More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, September 20th, 2017
Maoni 0

WANAWAKE WALIA TATIZO LA MAJI  

  Na ANNA RUHASHA WANAWAKE wa Kata ya Nyamapande wilayani  Sengerema   wamelalamikia tatizo la uhaba wa maji kwa  kulazimika kuyafuata mbali jambo ambalo limekuwa likihatarisha ndoa zao. Akizungumza kwa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 19th, 2017
Maoni 0

JPM KUZINDUA MRADI WA MAJI MUSOMA

Na SHOMARI BINDA – MUSOMA NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwele, ametembelea mradi wa maji wa Bukanga katika Manispaa ya Musoma Vijijini, ambao umekamilika na kuahidi kuwa utazinduliwa na Rais More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 18th, 2017
Maoni 0

WATUMISHI WA AFYA WAIHUJUMU SERIKALI MAGU

  Na MASYENENE DAMIAN-MWANZA BAADHI ya watumishi katika Idara ya Afya wilayani Magu mkoani Mwanza, wameendelea kupuuza maagizo mbalimbali yanayotolewa na Serikali kuhusu dawa za binadamu kwa kuendelea kuuza More...

By Mtanzania Digital On Thursday, September 14th, 2017
Maoni 0

KAGERA YAANZA KUTENGA MAENEO YA UFUGAJI

Na RENATHA KIPAKA SERIKALI mkoani Kagera imeanza kubainisha maeneo ya malisho ya mifugo Wilaya ya Muleba   kudhibiti tatizo la uvamizi holela wa misitu ambayo imetengwa kwa ajili ya hifadhi ya taifa. Mkuu wa More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 11th, 2017
Maoni 0

WATOTO ALBINO WAPAKWA MASIZI MEUSI WASIUAWE

Na SAMWEL MWANGA WAZAZI na walezi wa watoto albino katika Wilaya ya Bariadi   wamebuni mbinu mpya ya kuwapaka rangi nyeusi watoto wao kwenye ngozi na nywele  kuwalinda na vitendo vya ukatili na hata tishio la More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 11th, 2017
Maoni 0

SUMATRA KAGERA KUFANYA SENSA VYOMBO VYA USAFIRI 

  Na Renatha Kipaka SUMATRA mkoani Kagera wanatarajia kufanya sensa ya vyombo vinavyofanya safari katika visiwa mkoani humo ili kuvitambua vyenye usajili na ambavyo havijasajiliwa. Kauli hiyo ilitolewa na More...

Translate »