MRADI WA UMEME WA MEGAWATI 80 KUZINDULIWA LEO

Na MWANDISHI WETU, NGARA WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, leo anatarajia kuzindua mradi wa kuzalisha umeme wa nishati ya maji wa megawati 80 utakaohudumia nchi tatu za Afrika Mashariki katika eneo la Rusumo, Mto Kagera. Uzinduzi wa mradi huo ambao utashuhudiwa pia na mawaziri kutoka nchi za Rwanda na Burundi, unalenga More...

by Mtanzania Digital | Published 25 mins ago
By Mtanzania Digital On Sunday, January 8th, 2017
Maoni 0

RAIS MAGUFULI KAUSEMA UKWELI ULIO MCHUNGU

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu wakitoka kwenye ukaguzi wa shule ya Sekondari Omumwani mkoani Kagera. Na ASKOFU METHOD KILAINI,   WATU wa Mkoa More...

By Mtanzania Digital On Friday, December 23rd, 2016
Maoni 0

WENYEVITI WAWILI MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Na RENATHA KIPAKA – BUKOBA  MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Nyabihanga na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Bihanga, wilayani Ngara, Mkoa wa Kagera, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, mkoani Kagera, kwa tuhuma More...

By Mtanzania Digital On Thursday, October 27th, 2016
Maoni 0

Uhaba wa maji unavyowatesa wananchi Misenyi

Dumu moja la maji linauzwa kati ya Sh 500 hadi 700. Na Kulwa Mzee, aliyekuwa Kagera WILAYA ya Misenyi ni miongoni mwa wilaya za Mkoa wa Kagera ambayo ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya Wilaya ya Bukoba More...

By Mtanzania Digital On Monday, October 17th, 2016
Maoni 0

Watelekeza familia kwa njaa

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dk. Charles Tizeba Na Editha Karlo, Bukoba BAADHI ya wazazi wilayani Karagwe na Kyerwa mkoani Kagera wametelekeza familia zao baada ya wilaya hizo kukumbwa na njaa. Waziri wa Kilimo, More...

By Mtanzania Digital On Saturday, October 8th, 2016
Maoni 0

Ugali wa muhogo waua mama, watoto wanne  

EDITHA KARLO NA FLORIAN MASINDE-MULEBA MAMA na watoto wake wanne wakazi wa Kijiji cha Nyamilanda, Kata ya Kyebitembe, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, wamefariki dunia jana baada ya kula ugali unaosadikiwa kuwa More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 23rd, 2016
Maoni 0

Finca yasamehe mikopo waathirika wa tetemeko

Na Mwandishi Wete, KAGERA BENKI ya Finca Microfinance imewasamehe mikopo yenye thamani ya Sh milioni 57.2 wateja wake 15 waliothibitishwa kuathirika kwa tetemeko la ardhi lililotokea Septemba 10 mwaka huu, mkoani More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 20th, 2016
Maoni 0

Bilioni 7 kujenga Kagera

NA EDITHA KARLO-KAGERA ZAIDI ya Sh bilioni 6.7 zinahitajika kwa ajili ya kujenga na kurekebisha makazi ya wananchi walioathirika na tetemeko la ardhi lililotokea Septemba 10, mwaka huu mkoani Kagera. Fedha hizo More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 16th, 2016
Maoni 0

Taasisi za dini hazijafanyiwa tathimini ya tetemeko -Askofu

Na EDITHA KARLO, KAGERA VIONGOZI wa dini mkoani Kagera wameishauri Serikali kushirikisha wananchi katika kutathimini madhara yaliyotokana na tetemeko la ardhi mkoani humo. Walisema mpaka sasa baadhi ya maeneo kama More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, August 2nd, 2016
Maoni 0

Wanawake Kagera hawanyonyeshi

HADIA KHAMIS NA YASSIN ISSAH, DAR ES SALAAM MKOA wa Kagera unaongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha kina mama wasionyonyesha watoto wa umri wa chini ya miezi sita, hali inayosababisha  udumavu wa akili kwa watoto More...