MKUU WA MKOA ANUSURIKA KIFO, WAWILI WAJERUHIWA

Wananchi wakimtazama askari aliyefahamika kwa jina moja la Antony aliyegongwa gari jana asubuhi wakati akimwokoa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza, asigongwe wakati akiwa katika eneo la lango kuu la Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wakati wakielekea Uwanja wa Samora kwenye mazoezi. Watu wawili walijeruhiwa.NA FRANCIS GODWIN -IRINGA MKUU wa Mkoa More...

by Mtanzania Digital | Published 2 weeks ago
By Mtanzania Digital On Wednesday, February 8th, 2017
Maoni 0

19 MBARONI BIASHARA DAWA ZA KULEVYA IRINGA

Na FRANCIS GODWIN-IRINGA VITA ya dawa za kulevya iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, imevuka mipaka na sasa imetua mkoani Iringa ambako watuhumiwa 19, wakiwamo wafanyabiashara More...

By Mtanzania Digital On Saturday, January 21st, 2017
Maoni 0

TUCTA YAOMBA NYONGEZA YA MISHAHARA

Na RAYMOND MINJA -IRINGA SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), limeahidi kumpelekea Rais Dk. John Magufuli, mapendekezo ya kima cha chini cha mishahara kwa watumishi wa umma na sekta binafsi wakati More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 20th, 2017
Maoni 0

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA UWEKEZAJI SAGCOT

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa Na Mwandishi Wetu-IRINGA WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amempongeza mdau wa Mpango wa Kuendeleza Kilimo Ukanda wa Kusini (SAGCOT) kwa upande wa ufugaji, ASAS Diaries Ltd kwa kuwainua wafugaji More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 19th, 2017
Maoni 0

MPAKA WA KILOLO, IRINGA KUAMULIWA NA WATAALAMU

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula Na FRANCIS GODWIN -IRINGA NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, amepiga marufuku wananchi kutumia eneo lenye More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 17th, 2017
Oni 1

WAONYWA KUZUIA WAGONJWA WA VVU KUTUMIA DAWA

Na RAYMOND MINJA -IRINGA MBUNGE wa Mufindi Kusini, Mendrad Kigola (CCM), amewaomba watumishi wa Mungu wanaowaombea watu wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), kuacha kuwakataza kutumia dawa za kupunguza makali More...

By Mtanzania Digital On Monday, December 19th, 2016
Maoni 0

MZEE WA UPAKO WAANDISHI WA HABARI HAWATAKUFA BALI WATAISHI

Na RAYMOND MINJA- IRINGA NINALIONA anguko la mtu huyu anayejiita mtumishi wa Mungu Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, GRC, Antony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako. Napata mashaka kidogo na huyo Mungu anayemwabudu ila More...

By Mtanzania Digital On Sunday, December 18th, 2016
Maoni 0

DIWANI CHADEMA ASIMAMISHWA KISA HAJUI KUSOMA, KUANDIKA

Na RAYMOND MINJA – IRINGA BARAZA la Madiwani la  Halmashauri ya Mji wa Mafinga mkoani Iringa, jana limemsimamisha Diwani wa Kata ya Boma, Julist Kisoma (Chadema) kutokuhudhuria vikao vya baraza  hilo  More...

By Mtanzania Digital On Sunday, November 27th, 2016
Maoni 0

Wanafunzi ualimu wamlilia JK ukosefu wa ajira

RAIS mstaafu Jakaya Kikwete NA RAYMOND MINJA – IRINGA RAIS mstaafu Jakaya Kikwete amewatoa hofu wahitimu wa shahada za ualimu, kuwa wasikatishwe tamaa na tatizo la ajira nchini kwani suala hilo ni la mpito More...

By Mtanzania Digital On Sunday, November 13th, 2016
Maoni 0

Lukuvi amwakilisha JPM mazishi ya Mungai

Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho katika jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Ufundi, Joseph Mungai, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika Mafi nga mkoani Iringa jana. NA RAYMOND MINJA, IRINGA VIONGOZI More...