VIGOGO MBARONI KWA RUSHWA YA MIL 43/-

Na BENJAMIN MASESE-GEITA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) Mkoa wa Geita, imewaburuza mahakamani vigogo wawili wa kusimamia upimaji ardhi mkoani humo kwa makosa manne ya kuomba rushwa. Vigogo hao ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Salu Ndongo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni More...

by Mtanzania Digital | Published 3 weeks ago
By Mtanzania Digital On Sunday, January 29th, 2017
Maoni 0

WALIOFUKIWA MGODINI WATOA ISHARA KUWA HAI

Na EMMANUEL IBRAHIMU -GEITA MATUMAINI ya kuwapata hai wachimbaji 13, akiwamo Raia wa China, Meng Juping waliofukiwa Januari 25, mwaka huu katika Mgodi wa Dhahabu wa RZ Union, yameanza kujitokeza baada ya More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 6th, 2017
Maoni 0

SERIKALI KUBOMOA NYUMBA 128

Na EMMANUEL IBRAHIM- GEITA KAYA zaidi ya 28 zenye wakazi 128 wanaoishi Mtaa wa Kabahelele Wilaya ya Geita, juzi walitokwa na machozi mbele ya  Mkuu wa Wilaya hiyo, Herman Kapufi, baada ya kutoa amri ya kuvunja More...

By Mtanzania Digital On Saturday, December 17th, 2016
Maoni 0

MWENYEKITI GEITA ATIMULIWA KIJIJINI KWA ‘KUZUIA’ MVUA

NA EMMANUEL IBRAHIM,GEITA  ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Lubanda Kata ya Busanda, Wialaya ya Geita kati ya mwaka 2009 hadi 2014 ya uongozi wake, Julius Petro, amefurushwa kijijini hapo yeye More...

By Mtanzania Digital On Friday, November 18th, 2016
Maoni 0

Geita washindwa kumaliza tatizo uhaba wa madawati

NA CHRISTINA GALUHANGA-DAR ES SALAAM MKOA wa Geita unaogoza miongoni mwa mikoa saba kwa kuwa na upungufu mkubwa wa madawati. Jambo hilo limetajwa kuirudisha nyuma juhudi za serikali katika   kuboresha elimu nchini. Mbali More...

By Mtanzania Digital On Thursday, November 3rd, 2016
Maoni 0

MGODI WA DHAHABU WA GEITA (GGM) WAKABIDHI MADAWATI 10,000 MKOANI GEITA

Mkurugenzi Mtendaji wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita(GGM) Bw Terry Mulpeter akishikana mkono na mwanafunzi akiwa na mkuu wa Wilaya ya Geita Mh Hermani Kapufi pamoja na baadhi ya wanafunzi, wakifurahia baadhi ya madawati More...

By Mtanzania Digital On Saturday, October 29th, 2016
Maoni 0

DC Geita ajitetea mbele ya wabunge EALA  

Na BENJAMIN MASESE-GEITA MKUU wa Wilaya ya Geita mkoani Geita, Herman Kapufi, amesema ofisi yake haitakuwa miongoni mwa taasisi za umma zinazodaiwa ankara za maji na umeme kwani kitendo hicho ni sehemu ya kukwamisha More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, September 28th, 2016
Maoni 0

TFDA yabaini kiwanda bubu cha dawa bandia

Na Judith Nyange, MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Ziwa imebaini kiwanda bubu cha dawa bandia katika mji  mdogo wa Buselesele wilayani Chato Mkoa wa Geita. Kiwanda hicho kilichofanya kazi tangu mwaka More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 23rd, 2016
Maoni 0

Mwalimu jela kwa rushwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Bukombe mkoani Geita imemhukumu Mwalimu wa Shule ya Msingi Umoja, Daniel Nyingati kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh milioni 1.6 baada ya kupatikana na makosa ya  kuomba More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 29th, 2016
Maoni 0

Mwigulu anasa Wachina 72 wakiishi kinyemela nchini

Mwigulu Nchemba Na ALEX SAYI, GEITA WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, amefanya ziara ya kushtukiza katika Mgodi wa Dhahabu wa Nyamahuna mkoani  Geita na kukuta Wachina 72 kati ya 100 wakiishi na kufanya More...