KAMATI YA BUNGE YAISHAURI SERIKALI KUNUNUA ASILIMIA 60 YA HISA ZA AIRTEL

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mindombinu, imeishauri Serikali kununua asilimia 60 ya hisa za Kampuni ya simu ya Airtel ili kuipa uwezo Kampuni ya Simu Nchini (TTCL). Katika taarifa ya kamati iliyosomwa na Mwenyekiti wake Prof. Norman Sigalla, inashauri kuwa Serikali iwekeze kwa kuipa fedha TTCL kwa ajili ya kupanua maiundombinu yake kwa kuwa More...

by Mtanzania Digital | Published 1 day ago
By Mtanzania Digital On Thursday, April 27th, 2017
Maoni 0

MAOMBI 25 YAFUNGULIWA MAHAKAMA YA MAFISADI

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi Na Mwandishi Wetu-DODOMA WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema tangu Mahakama Kuu Divesheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 27th, 2017
Maoni 0

LISSU, KABUDI WATOANA JASHO DK 20

    Na Fredy Azzah, GWIJI na mwalimu wa sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria, juzi alipimana ubavu wa kujenga hoja na Mbunge wa Singida Mashariki, More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 27th, 2017
Maoni 0

JPM: ATAKAYEJARIBU KUVUNJA MUUNGANO, ATAVUNJIKA YEYE

Rais Dk. John Magufuli, akikagua gwaride la heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana.   FREDY AZZAH na ELIZABETH HOMBO More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 27th, 2017
Maoni 0

HALIMA MDEE AMWOMBA RADHI SPIKA

Spika wa Bunge, Job Ndugai   Na ELIZABETH HOMBO-DODOMA ZIKIWA zimepita siku takriban 21, tangu Spika wa Bunge, Job Ndugai kuagiza Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kufika bungeni ndani ya saa 24 vinginevyo More...

By Mtanzania Digital On Sunday, April 23rd, 2017
Maoni 0

JANUARY ATAJA KERO SUGU ZA MUUNGANO

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba   Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba, amezitaja More...

By Mtanzania Digital On Sunday, April 23rd, 2017
Maoni 0

MWIGULU AWATAKA POLISI KUWATENDEA HAKI RAIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, akizindua Programu ya Mafunzo ya Uongozi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, Dodoma yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 20th, 2017
Maoni 0

WABUNGE WAHOFIA NJAA

Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson     ELIZABETH HOMBO Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA BAADHI ya wabunge wametaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili wajadili kwa kina suala la tishio la njaa na More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 20th, 2017
Maoni 0

MASHIRIKA MANNE YAFUJA BIL. 249/-

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Mussa Assad     Na FREDY AZZAH-DODOMA WAKATI ukata ukisababisha bajeti ya maendeleo kwa mwaka 2016/17 kutotekelezwa kwa kiasi kikubwa, ripoti More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 20th, 2017
Maoni 0

RAIS MAGUFULI AMWAGA AJIRA

AJIRA: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumzakuhusu ajira mpya kwa madaktari 258 waliokuwa waende nchini Kenya, mjini Dodoma jana. Kulia niKatibu Mkuu wa wizara hiyo, More...