WAHARIRI WAMWEKA NJIA PANDA PROFESA LIPUMBA

Mwandishi wa Gazeti la MTANZANIA, Asha Bani, akilia wakati wa akielezea namna walivyopigwa kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF) katika mkutano ulioandaliwa na Jukwaa la Wahariri (TEF) kwa ajili ya kulaani tukio hilo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa jukwa hilo, Theophil Makunga.   Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM JUKWAA la Wahariri More...

by Mtanzania Digital | Published 1 day ago
By Mtanzania Digital On Thursday, April 27th, 2017
Maoni 0

JPM ASAMEHE WAFUNGWA 2,291

RAIS Dk. John Magufuli   Na PATRICIA KIMELEMETA – DARES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli, ametoa msamaha wa wafungwa 2,291, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika More...

By Mtanzania Digital On Sunday, April 23rd, 2017
Maoni 0

WATU 40,000 WANAUGUA SARATANI

RAIS wa Taasisi ya Afya (THS), Dk. Omary Chillo (kulia)   Na PATRICIA KIMELEMETA –DAR ES SALAAM RAIS wa Taasisi ya Afya (THS), Dk. Omary Chillo, amesema kila mwaka watu zaidi ya 40,000 wanaugua More...

By Mtanzania Digital On Sunday, April 23rd, 2017
Maoni 0

RIPOTI YA BOT YAONYESHA KUPANDA BEI YA MAHINDI

  Na Tobias Nsungwe – Dar es Salaam BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeotoa ripoti ya hali ya uchumi inayoishia mwezi Machi, mwaka huu huku ikionyesha ongezeko kubwa la bei ya vyakula. Ripoti More...

By Mtanzania Digital On Sunday, April 23rd, 2017
Maoni 0

DAKIKA 10 ZILIVYOTUMIKA KUMWAGA DAMU CUF

VURUGU: Mmoja wa watu (kushoto) wanaodaiwa kuvamia mkutano wa viongozi wa CUF na waandishi wa habari uliofanyika Hoteli ya Vina, Manzese, Dar es Salaam jana, akijitetea kujinasua kwenye mikono ya Wananchi. PICHA More...

By Mtanzania Digital On Sunday, April 23rd, 2017
Maoni 0

MRADI WA MAJI UTAKAOGHARIMU BIL 600/- WASAINIWA TABORA

MKATABA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo (kulia) na Makamu wa Rais wa Kampuni ya L&T Construction ya nchini India, Nilayam Ramasethu, wakisaini mkataba wa ujenzi wa More...

By Mtanzania Digital On Sunday, April 23rd, 2017
Maoni 0

AMNESTY YAITAJA TANZANIA KUMINYA DEMOKRASIA

    NA MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (Amnesty International), limeeleza kutoridhishwa na mwenendo wa uhuru wa habari, kuminywa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, April 22nd, 2017
Maoni 0

TRA YAWAONYA WANAOKWEPA KODI MAJENGO

NA CHRISTINA GAULUHANGA- DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imewataka wananchi kuhakikisha wanalipa kodi ya majengo kwa wakati ili kuepuka adhabu ifikapo Juni, mwaka huu. Pia wameitaka More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 20th, 2017
Maoni 0

KANUNI MPYA ZA USAFIRISHAJI ZITAPUNGUZA AJALI BARABARANI?

Ajali ya barabarani     Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM MATUKIO ya ajali za barabarani yamekuwa na athari nyingi hapa nchini kiuchumi na kijamii kwani yamewasababishia wananchi madhara makubwa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, April 20th, 2017
Maoni 0

DK. MAGUFULI KUFUNGUA KONGAMANO LA MAADILI

RAIS Dk. John Magufuli Na CHRISTINA GAULUHANGA – DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli anatarajiwa kufungua kongamano la maadili  lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza More...