WATUHUMIWA ARUSHA WATISHIA KUTOFIKA MAHAKAMANI

Na Mwandishi wetu, Watuhumiwa 61 wanaokabiliwa na kesi za matukio ya mkoani Arusha wametishia kutokufika mahakamani tena kutokana na upelelezi wa kesi zao kutokukamilika kwa zaidi ya miaka minne. Mbele ya Hakimu Mkazi Nestory Barro, watuhumiwa hao walidai kuwa wamechoshwa kuletwa mahakamani kila mara lakini upelelezi wa kesi zao haujakamilika More...

by Mtanzania Digital | Published 2 days ago
By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

NJELU KASAKA: HAKUNA ALIYE SALAMA

Na MWANDISHI WETU – ARUSHA MWANASIASA mkongwe ambaye alipata kuwa mwenyekiti wa kundi la wabunge waliohitaji muundo wa Serikali tatu (G55) wakati wa utawala wa awamu ya pili, Njelu Kasaka, amesema More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 19th, 2017
Maoni 0

SIRI YA USHINDI WA LISSU TLS

kutangazwa kuwa mshindi, Arusha jana. ABRAHAMU GWANDU NA ELIYA MBONEA-ARUSHA WAKILI machachari, Tundu Lissu, amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) baada ya kupata ushindi wa kishindo More...

By Mtanzania Digital On Saturday, March 18th, 2017
Maoni 0

LISSU GUMZO UCHAGUZI TLS

Na Waandishi Wetu- Arusha/Dar es Salaam MGOMBEA wa nafasi ya urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu, amekuwa gumzo baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha More...

By Mtanzania Digital On Thursday, March 9th, 2017
Maoni 0

MOTO WAZUA TAHARUKI AICC

WAJUMBE wa Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF unaondelea mchana huu katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), jijini Arusha, wamelazimika kusitisha mkutano huo baada ya More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 5th, 2017
Maoni 0

UKATA WAIKABILI EAC

Na ABRAHAM GWANDU – ARUSHA KIKAO cha wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kinatarajiwa kufanyika Aprili 6, jijini hapa huku kukiwa na taarifa za ukata unaodaiwa kusababisha More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 5th, 2017
Maoni 0

MKEWE LEMA AFUNGUKA DHAMANA YA MUMEWE

Na ELIYA MBONEA-ARUSHA SIKU moja baada ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), kuachiwa kwa dhamana, mke wake, Neema Lema, amesema kuna baadhi ya watu wana roho za shetani na sasa wanahangaika More...

By Mtanzania Digital On Saturday, March 4th, 2017
Maoni 0

PANDA SHUKA YA SIKU 120 ZA LEMA GEREZANI

Na JANETH MUSHI- -ARUSHA LEMA alikamatwa Novemba 2, mwaka jana mjini Dodoma nje ya viwanja vya Bunge na kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Novemba 4 mwaka jana akikabiliwa na kesi mbili More...

By Mtanzania Digital On Saturday, March 4th, 2017
Maoni 0

JAJI: MAHAKAMA ILIINGILIWA

JANETH MUSHI Na ELIYA MBONEA -ARUSHA VILIO, shangwe na nderemo jana vilitawala katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, baada ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), kuachiwa huru kwa dhamana. Mwanasiasa More...

By Mtanzania Digital On Monday, February 27th, 2017
Maoni 0

RUNGWE AMJULIA HALI LEMA  GEREZANI, AONYA CHUKI

NA JANETH MUSHI,-ARUSHA MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe, amemtembelea Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema (Chadema), ambaye   bado yuko mahabusu katika Gereza More...