CHERCHESOV: TULIKOSA WACHEZAJI BORA

SOCHI, URUSI BAADA ya Urusi kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini humo, kocha wa timu hiyo, Stanislav Cherchesov, ameweka wazi kuwa walikosa wachezaji bora lakini walikuwa na timu bora. Urusi ambao walikuwa wenyeji wa michuano hiyo, wametolewa katika hatua ya robo fainali dhidi ya Croatia kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 4-3, baada More...

by Mtanzania Digital | Published 1 week ago
By Mtanzania Digital On Monday, July 9th, 2018
Maoni 0

RAIS ZAMBIA AMPONGEZA MWAMUZI URUSI

LUSAKA, ZAMBIA RAIS wa nchi ya Zambia, Edgar Lungu, amesema anavutiwa na utendaji kazi wa mwamuzi wa soka wa Zambia, Janny Sikazwe, katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi. Lungu alisema Sikazwe More...

By Mtanzania Digital On Thursday, July 5th, 2018
Maoni 0

RAMOS AUTUPIA LAWAMA UONGOZI HISPANIA

MADRID, HISPANIA NAHODHA wa timu ya taifa ya Hispania, Sergio Ramos, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu taifa hilo litolewe kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi huku akidai uongozi ulifanya makosa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, July 5th, 2018
Maoni 0

SINGIDA YAIGOMEA SIMBA, ZATINGA ROBO FAINALI

Na THERESIA GASPER,DAR ES SALAAM SIMBA imelazimishwa bao 1-1 na Singida United katika mchezo wa mwisho wa kundi C wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ‘Kombe la Kagame’, uliochezwa jana Uwanja More...

By Mtanzania Digital On Thursday, July 5th, 2018
Maoni 0

VIGOGO WALIVYOTELEZA 16 BORA URUSI

MOSCOW, URUSI KUNA baadhi ya timu zilipewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi, hii ni kutokana na ubora wa vikosi vyao pamoja na historia. Miongoni mwa timu More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, July 4th, 2018
Maoni 0

FORSBERG AIPELEKA SWEDEN ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

SAINT-PETERSBURG, URUSI KIUNGO wa timu ya taifa ya Sweden, Emil Forsberg, amefanikiwa kuipeleka timu hiyo hatua ya robo fainali katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi, baada ya kufunga bao lake katika More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, July 4th, 2018
Maoni 0

JAPAN WAACHA HISTORIA KOMBE LA DUNIA

ROSTOV-ON-DON, URUSI TIMU ya Taifa ya Japan imeacha historia kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi, baada ya kutolewa katika hatua ya 16 bora dhidi ya wapinzani wao Ubelgiji kwa mabao 3-2, kwenye Uwanja More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, July 3rd, 2018
Maoni 0

RONALDO, MESSI KUMSAFISHIA NYOTA HAZARD URUSI

MOSCOW, URUSI   WINGA wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Eden Hazard, ameahidi kuwa nyota wa michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi baada ya nyota wa Argentina, Lionel Messi na Ureno, Cristiano Ronaldo More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, July 3rd, 2018
Maoni 0

NEYMAR AITIMUA MEXICO URUSI

SAMARA ARENA, URUSI   MSHAMBULIAJI wa Brazil, Neymar Jr, ameivusha timu ya Taifa ya nchi hiyo hatua ya robo fainali baada ya jana kufunga bao moja kwenye ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mexico, mchezo wa hatua More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, July 3rd, 2018
Maoni 0

SIMBA YA WAADHIBU MAAFANDE WA APR

NA THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM TIMU ya Simba SC, imejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ‘Kombe la  Kagame’, baada ya jana kuibuka na ushindi More...