CV KOCHA MPYA SIMBA TISHIO

Ni yule aliyeipa Cameroon ubingwa wa Afrika Na MOHAMED KASSARA -DAR ES SALAAM HATIMAYE klabu ya Simba imemtambulisha rasmi kocha wa zamani timu ya Taifa ya Cameroon Mfaransa, Pierre Lechantre, kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho. Lechantre ambaye aliiongoza Cameroon kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) mwaka 2000, anakuja kuchukua nafasi More...

by Mtanzania Digital | Published 2 months ago
By Mtanzania Digital On Monday, January 15th, 2018
Maoni 0

KASEKE: HALI NGUMU YA UCHUMI IMEONGEZA JITIHADA YA KUFANYA KAZI

Na ZAINAB IDDY THAMANI ya miguu ya Deus Kaseke ilianza kuonekana alipokuwa katika kikosi cha Mbeya City chini ya kocha Juma Mwambusi kabla ya kusajiliwa na Yanga SC. Lakini mwanzoni mwa msimu huu aliamua kujiunga More...

By Mtanzania Digital On Saturday, January 13th, 2018
Maoni 0

PLUIJM AITOLEA MACHO SIMBA

Na SAADA SALIM –ZANZIBAR KOCHA mkuu wa Singida United, Hans Pluijm, ameanza kuipigia hesabu timu ya Simba ya kuhakikisha inaing’oa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba iliyo kileleni mwa msimamo More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 12th, 2018
Maoni 0

AZAM FC: KOMBE HALIONDOKI TANZANIA

NA MWANDISHI WETU-ZANZIBAR KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amesema hawatarudia tena makosa zaidi ya kuhakikisha wanaifunga URA na kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi. Azam imefuzu hatua ya fainali ya Kombe More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 12th, 2018
Maoni 0

MATOLA ATIMKA LIPULI FC

NA MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM KOCHA wa msaidizi wa Lipuli FC, Seleman Matola,ameikacha timu hiyo na kurejea Dar es Salaam baada ya kutokea tofauti ya kimtazamo na  kocha mkuu wa timu hiyo, Amri Said. Kutoelewana More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 12th, 2018
Maoni 0

BANDA: SIMBA KUTWAA UBINGWA VPL NDOTO

NA SAADA SALIM- ZANZIBAR BEKI wa Baroka FC ya Afrika Kusini, Mtanzania Abdi Banda, anaamini Simba imejimaliza yenyewe katika vita ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) msimu huu, baada ya kumtimua More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 11th, 2018
Maoni 0

HESABU ZA YANGA MAPINDUZI ZAGOMA

NA SAADA AKIDA-UNGUJA HESABU  za Yanga kufuzu fainali na hatimaye kutwaa ubingwa wa  Kombe la Mapinduzi zimegoma baada ya jana kuchapwa penalti 5-4na URA katika mchezo wa nusu fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan,Unguja. Katika More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, January 10th, 2018
Maoni 0

DJUMA ATISHIA NAFASI YA KICHUYA SIMBA

Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM KAIMU kocha mkuu wa timu ya Simba, Masoud Djuma, ametishia nafasi ya winga Shiza Kichuya, baada ya kuamua kutoa nafasi kwa kila mchezaji wa Simba kuonesha kiwango chake uwanjani ili More...

By Mtanzania Digital On Friday, January 5th, 2018
Maoni 0

KESSY ALINDA HESHIMA YANGA

Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM BAO la dakika 90 la beki Hassan  Kessy limeipa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKU katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Amaan,Unguja. Kwa ushindi More...

By Mtanzania Digital On Thursday, January 4th, 2018
Maoni 0

‘NILIMWOKOA EBOUE SAA NANE USIKU’

NA SOSTHENES NYONI-MTANZANIA MTANZANIA, Yasmin Razak, ameeleza namna alivyokutana na nyota wa zamani wa Arsenal na timu ya Taifa ya Ivory Coast, Emmanuel Eboue, kabla ya kumpa hifadhi nyumbani kwake. Eboue alikutana More...