MAN CITY WAWEKA HISTORIA NYUMBANI

MANCHESTER, ENGLAND KLABU ya Manchester City, imeweka rekodi ya kushinda michezo 16 mfululizo kwenye uwanja wa nyumbani na kuifikia rekodi ambayo waliiweka miaka 100 iliyopita. Kikosi hicho cha kocha Pep Guardiola, kimeweka historia hiyo juzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wapinzani wao Bristol City, kwenye michuano ya Kombe la More...

by Mtanzania Digital | Published 2 months ago
By Mtanzania Digital On Saturday, December 30th, 2017
Maoni 0

XAVI: DE BRUYNE NI MESSI WA MAN CITY

QATAR, DOHA KIUNGO wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania, Xavier Hernandez ‘Xavi’, amedai kuwa, Kevin De Bruyne, ni Lionel Messi wa klabu ya Manchester City. Xavi amesema kocha wa Man More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 19th, 2017
Maoni 0

KAKA ATANGAZA RASMI KUSTAAFU SOKA

SAO PAULO, BRAZIL NYOTA wa zamani wa klabu ya Real Madrid na AC Milan, Ricardo dos Santos ‘Kaka’, ametangaza rasmi kustaafu soka huku akiwa na umri wa miaka 35. Mchezaji huyo ambaye alikuwa anacheza nafasi More...

By Mtanzania Digital On Monday, December 18th, 2017
Maoni 0

CHRIS BROWN AWALIZA WANAFUNZI, WALIMU

GEORGIA, MAREKANI NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown, mwishoni mwa wiki iliyopita aliwaliza wanafunzi na walimu katika shule ya Colombia Middle School, baada ya kutokea bila taarifa. Msanii huyo More...

By Mtanzania Digital On Monday, December 18th, 2017
Maoni 0

‘MOTO WA MAN CITY HAKUNA WA KUUZIMA’

MANCHESTER, ENGLAND BAADA ya klabu ya Tottenham kukubali kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya vinara wa Ligi Kuu England, Man City, kocha wa timu hiyo, Mauricio Pochettino, ameweka wazi kuwa hakuna wa kuuzima moto wa More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, December 13th, 2017
Maoni 0

RIHANNA AKANUSHA KUTOKA NA LEROY SANE

NEW YORK, MAREKANI MSANII wa muziki wa pop nchini Marekani, Rihanna Fenty, amekanusha taarifa za kwamba yupo kwenye uhusiano na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Manchester City, Leroy Sane. Wiki iliyopita kwenye More...

By Mtanzania Digital On Monday, December 11th, 2017
Maoni 0

TEVEZ ANASHINDWA KULINDA THAMANI YAKE CHINA

NA BADI MCHOMOLO DESEMBA 29 mwaka jana, nyota wa soka nchini Argentina, Carlos Tevez, alitikisa dunia baada ya kusajiliwa kwa kiasi kikubwa cha fedha ndani ya klabu ya Shanghai Shenhua ya nchini China akitokea More...

By Mtanzania Digital On Monday, December 11th, 2017
Maoni 0

WANAOFUTA BAADA YA  MESSI NA RONALDO BALLON DOR

ADAM MKWEPU NA MITANDAO MAISHA ya kuwa katika mbio za kuwania tuzo ya uchezaji bora wa dunia kwa nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo na Barcelona Lionel Messi huenda  yakawa yanaelekea ukingoni. Nyota hao More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 5th, 2017
Maoni 0

CONTE AWAONYA WAPINZANI WAO KWA  HAZARD

LONDON, ENGLAND KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte,  ameonesha imani yake kuhusu kiwango cha winga wake, Eden Hazard, kuongezeka licha ya kuanza vibaya  mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu. Hazard alikosa More...

By Mtanzania Digital On Monday, December 4th, 2017
Maoni 0

MOURINHO AFICHUA ALIVYOICHINJA ARSENAL

LONDON, England JUZI kocha Arsene Wenger na vijana wake wa Arsenal walishindwa kuutumia uwanja wao wa nyumbani kwa kukubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Manchester United, mchezo uliokuwa wa 15 kwa kila timu More...