KABLA YA KUMUWEKA MOYONI UMEMCHUNGUZA?

MAPENZI hukamilishwa na hisia za watu wawili wanaopendana kwa dhati. Lakini lazima wawili hao wawe¬† na hisia sawa. Kama upo katika uhusiano na mpenzi ambaye hakupendi, yaani wewe peke yako ndiyo unayempenda, wewe ni mtumwa wa mapenzi! Ndiyo maana nasisitiza kuwa ili uhusiano uwe na maana lazima huyo unayeunganisha naye uhusiano awe anakupenda kwa More...

by Mtanzania Digital | Published 2 days ago
By Mtanzania Digital On Saturday, July 22nd, 2017
Maoni 0

MASTORI YANGU NA WAHENGA WAJAO

Na RAMADHANI MASENGA MAKAMANDA niaje? Mambo yako supa? Kama kawa kama dawa mwanenu, mwanajeshi wa uhakika, komandoo wa kutegemewa, baharia wa nchi kavu na spai mweledi nipo nalisongesha. Kuna wakati kutokana na More...

By Mtanzania Digital On Saturday, July 22nd, 2017
Maoni 0

TUSICHOKE KUJIFUNZA KUTENDA HAKI

MWENENDO wa mambo katika vyombo vya maamuzi na utendaji umetusukuma kwa mara nyingine tena kukumbusha umuhimu wa kutenda haki. Vyombo hivi vinapaswa kutambua wajibu wao kuwa ni kutafuta namna ya kutatua matatizo More...

By Mtanzania Digital On Saturday, July 15th, 2017
Maoni 0

SERIKALI IMETENDA HAKI KUWARUDISHA KAZINI WATUMISHI 450

MIONGONI mwa habari zilizokuwapo toleo la jana la gazeti hili katika ukurasa wa pili, ilisema watumishi wa umma 450 wamerudishwa kazini baada ya kushinda rufaa zao. Taarifa ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti More...

By Mtanzania Digital On Saturday, July 8th, 2017
Maoni 0

KILA MISHE NI MZUKA MRADI MAPENE MFUKONI

Na RAMADHANI MASENGA WANANGU niaje? Kila kitu frengwa ama magumashi tu? Acha kulalamika kiboya mwanangu. Haijawahi kutokea popote katika dunia raia wakaona mambo yako sawa. Si unakumbuka bata walilokuwa wanakula More...

By Mtanzania Digital On Saturday, July 8th, 2017
Maoni 0

UNATUMIA 60,000 BODABODA TU, MSHAHARA WAKO 300,000 UNA AKILI? – 2

Na ATHUMANI MOHAMED KARIBUNI katika safu yetu inayozungumzia mambo ya msingi kuhusiana na maisha yetu ya kila siku. Kwa wadau wa kila siku bila shaka kuna mengi waliyojifunza kuhusu maisha na mafanikio. Tunaendelea More...

By Mtanzania Digital On Saturday, July 8th, 2017
Maoni 0

SERIKALI ISIISHIE KWA TICTS, IFUMUE MIKATABA MINGINE

MOJA ya habari zilizokuwapo katika ukurasa wa nne wa gazeti hili katika toleo la jana ilizungumzia hatua ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya kimataifa ya kupakua na kupakia makasha Tanzania (TICTS) More...

By Mtanzania Digital On Saturday, June 24th, 2017
Maoni 0

UKIAMBIWA HUWEZI WAAMBIE WAKUAMBIE RANGI ZA WANAOWEZA!

Na ATHUMANI MOHAMED LAZIMA utumie akili nyingi sana ili uweze kufanikiwa maishani vinginevyo utabaki kuwa msindikizaji tu. Lakini wakati ukifukuzia ndoto zako, kumbuka kuwa unaishi kwenye jamii ambayo imetofautiana More...

By Mtanzania Digital On Saturday, June 24th, 2017
Maoni 0

KAMA KWELI TUNA DHAMIRA, TUFUFUE VIWANDA VIKUBWA

SERIKALI ya Awamu ya Tano, pamoja na mambo mengine, imejipambanua kwa kaulimbiu yake ya Tanzania ya Viwanda. Pengine kama kuna jambo ambalo si tu Rais Dk. John Magufuli anatamani, bali ni Watanzania wote, ni siku More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, June 20th, 2017
Maoni 0

WANANCHI TARIME WASIKILIZWE, WASIVUNJE SHERIA

KWA siku mbili sasa, hali si shwari katika Mgodi wa Dhahabu wa North Mara mkoani Mara, kutokana na wananchi wengi kuvamia mgodi huo na kupora mali kadhaa. Hali hiyo imesababisha Jeshi la Polisi kutumia nguvu kubwa More...

Translate »