NAPE NNAUYE, UMESAMEHEWA

KWAKO Nape Moses Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama na Waziri wangu wa zamani wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo; Salaam! Nape, nilianza kukufahamu kwa mbali ulipokuwa kwenye Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).  Nakumbuka jina lako lilivuma wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo ulipopambana na Dk. Emmanuel More...

by Mtanzania Digital | Published 20 hours ago
By Mtanzania Digital On Wednesday, March 29th, 2017
Maoni 0

UKAGUZI WA CAG SEKTA YA MADINI UWE NA BARAKA ZA WATANZANIA

WAINGEREZA wana msemo wao maarufu unaosema "There's no such thing as a free lunch." Maana yake ni kuwa, hakuna kitu cha bure. Misaada ambayo inatolewa na nchi tajiri kwa nchi masikini kama Tanzania, More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, March 29th, 2017
Maoni 0

KUWE NA CHOMBO CHA KUSIMAMIA VYOMBO VYA USALAMA

KATIKA siku za karibuni kumekuwa na  masuala yanayoibuka ambayo yamekuwa yakileta maswali mengi. Unaweza kujiuliza kwamba hivi hiki ni kipindi gani ambacho tunakipitia kutokana na mambo mageni mengi More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, March 29th, 2017
Maoni 0

UHURU WA KUJIELEZA: HAKI INAYOLINDWA KIKATIBA INGAWA BADO INAMINYWA

Na NORA DAMIAN WIKI mbili zilizopita nilitumiwa ujumbe wa WhatsApp ambao ulikuwa umejaa mafumbo mengi na ilinilichukua muda kidogo kuweza kuyang’amua kwani yalikuwa ni magumu. Baada ya kutafakari More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, March 29th, 2017
Maoni 0

NIMEKUKUMBUKA DK. SLAA

NIKIAMBIWA nitaje mwanasiasa mmoja aliyekuwa au aliyenivutia mpaka nikaipenda siasa kwa kiwango kikubwa basi bila shaka wala kusitasita nitamtaja Dk. Wilbroad Slaa, nilimpenda mwanasiasa huyu kwa jinsi ambavyo More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, March 29th, 2017
Maoni 0

NAPE ATABAKI SALAMA NDANI YA CCM?

Na BALINAGWE MWAMBUNGU NIMESOMA mahali kwamba mwezi Machi una matukio mawili makubwa katika nchi yetu; kwanza ni kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba ambacho kilitokea Machi 13, 1997 na More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, March 28th, 2017
Maoni 0

WiLDAF: WANAWAKE NI MHIMILI WA UCHUMI

Wanawake wajasiriamali wakiwa kwenye mkutano Na ASHA BANI, TAKWIMU za sensa za mwaka 2012 zinaonesha kwamba wanawake ni asilimia 51.7 ya Watanzania wote ambao idadi yao ni 44,928,923.  Wanawake wengi More...

By Mtanzania Digital On Monday, March 27th, 2017
Maoni 0

MIAMI OPEN KURUDISHA HESHIMA YA NADAL?

MARTIN MAZUGWA NA MITANDAO MARA baada ya kutokuwa katika kiwango bora katika siku za karibuni kutokana na matatizo ya nje ya uwanja, hatimaye mcheza tenisi raia wa Hispania, Rafael Nadal, amerudi katika More...

By Mtanzania Digital On Monday, March 27th, 2017
Maoni 0

KICHUYA USIBADILI GIA ANGANI UTAPOTEA

NA ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM MWAKA 2015 mratibu wa maendeleo ya soka la vijana nchini, Kim Poulsen, akiwa kocha mkuu wa timu ya Silkeborg IF inayoshiriki Ligi Kuu ya soka nchini Denmark, aliwahi kusema More...

By Mtanzania Digital On Monday, March 27th, 2017
Maoni 0

NAIONA SAFARI YA MWISHO YA YANGA 

Na ZAINAB IDDY MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao pia ni wawakilishi pekee kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, Yanga, wamepangwa kucheza dhidi ya MC Alger ya Algeria More...