TIC: UWEKEZAJI UNAIMARIKA NCHINI

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM MKURUGENZI  Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Geoffrey Mwambe, amesema uwekezaji unazidi kushamiri nchini Tanzania na TIC inahakikisha wawekezaji wanaendesha shughuli zao vizuri na kwa faida. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mwambe alisema kwa sasa TIC imeondoa dosari zote zilizokuwa zinawakwaza More...

by Mtanzania Digital | Published 2 days ago
By Mtanzania Digital On Wednesday, September 20th, 2017
Maoni 0

‘WAONDOENI WANANCHI NDANI YA HIFADHI’

Na Mwandishi Wetu-Arusha WAZIRI  wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe ameliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia Hifadhi ya Taifa ya Arusha kuhakikishaa wananchi wote waliolima More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, September 20th, 2017
Maoni 0

SERIKALI YALIFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI

Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); SERIKALI imelifungia gazeti la Mwanahalisi kwa kipindi cha miaka miwili kwa kudaiwa kukiuka misingi na sheria za taaluma More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, September 20th, 2017
Maoni 0

KUBENEA AKAMATWA DAR

NA CHRISTINA GAULUHANGA-DAR ES SALAAM MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), amekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam jana ili apelekwe  Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama  ya Bunge. Hatua hiyo More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, September 20th, 2017
Maoni 0

KUBENEA ASAFIRISHWA, KUHOJIWA DODOMA LEO

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), amesafirishwa kuelekea Dodoma chini ya ulinzi wa polisi tayari kwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge. Kubenea amesafirishwa kwa ndege leo More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, September 20th, 2017
Maoni 0

VIGOGO CCM WAANZA KUKIMBIA UCHAGUZI

Na ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM WAKATI hekaheka za uchaguzi wa ndani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikianza kupamba moto, vigogo wake wameanza kukimbia, huku wengine wakibadili gia angani kutowania nafasi ndani More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 19th, 2017
Maoni 2

KUBENEA ASHIKILIWA NA POLISI, KUSAFIRISHWA DODOMA LEO

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), anashikiliwa na polisi Kituo cha Oysterbay akisubiri taratibu za kusafirishwa kuelekea Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge. Kubenea More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 19th, 2017
Maoni 0

DK TULIA, MDEE WAONGOZA WAOMBELEZAJI MAZIKO YA DIWANI

Na PENDO FUNDISHA-MBEYA NAIBU Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson jana aliongoza mamia ya wakazi  wa Mkoa wa Mbeya  kushiriki mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 18th, 2017
Maoni 0

MADIWANI GEITA WAKACHA KIKAO WAKIHOFIA KUKAMATWA

Mkutano kati serikali na Madiwani wa Halmashauri za Mji na Wilaya mkoani Geita, umeshindwa kufanyika kutokana na  madiwani kutofika kwa hofu ya kukamatwa na polisi. Mkutano huo uliopangwa kufanyika leo Jumatatu More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 18th, 2017
Maoni 0

AJALI YATEKETEZA FAMILIA YA NAIBU WAZIRI, JPM ATUMA RAMBIRAMBI

Familia ya watu 13 ya Naibu Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu wamefariki katika ajali iliyotokea  usiku wa kuamkia leo katika barabaraya Masaka, nchini Uganda. Ajali hiyo imetokea wakati familia More...

Translate »