WABUNGE 40 UINGEREZA HAWANA IMANI NA MAY

LONDON, UINGEREZA WABUNGE 40 wa chama tawala cha Conservative nchini Uingereza, wamekubaliana kusaini barua ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Theresa May. Taarifa hizo zimeripotiwa juzi na Gazeti la Sunday Times, na kwamba idadi hiyo ni ndogo ikilinganishwa na wabunge 48 wanaohitajika kushinikiza kufanyika uchaguzi mpya, ambao huenda ukamwondoa More...

by Mtanzania Digital | Published 6 days ago
By Mtanzania Digital On Tuesday, November 14th, 2017
Maoni 0

ODINGA: KENYA INAKOSA WATU AINA YA NYERERE

WASHINGTON, MAREKANI KINARA wa muungano wa upinzani wa National Super Alliance (NASA), Raila Odinga, amesema Rais wa kwanza wa Tanzania, hayati Mwalimu Julius Nyerere, alikuwa na uwezo mkubwa katika utatuzi wa More...

By Mtanzania Digital On Monday, November 13th, 2017
Maoni 0

URUSI, PHILIPPINES KUSHIRIKIANA KIJESHI

DA NANG, Vietna (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); SERIKALI ya Urusi imesema ipo tayari kushirikiana na Philippines katika  masuala ya kiufundi kijeshi ili kupambana na magaidi. Taarifa More...

By Mtanzania Digital On Monday, November 13th, 2017
Maoni 0

VITA MANENO YAIBUKA UPYA KATI YA TRUMP, KIM

WASHINGTON, MAREKANI RAIS wa Marekani na Korea Kaskazini wameibua upya vita yao ya maneno kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mpango wa nyuklia wa taifa hilo la kikomunisti. Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini More...

By Mtanzania Digital On Monday, November 13th, 2017
Maoni 0

NASA YATANGAZA KURA YA MAONI, YALIKOSOA KANISA

NAIROBI, KENYA KINARA mwenza wa muungano wa National Super Alliance (Nasa), Musalia Mudavadi juzi alisema wataitisha kura ya maoni kuibadili Katiba kuhakikisha chaguzi za haki zinafanyika. Akizungumza katika mazishi More...

By Mtanzania Digital On Sunday, November 12th, 2017
Maoni 0

BURUNDI YAWAKATAA WACHUNGUZI ICC

BUJUMBURA, BURUNDI SERIKALI ya Burundi imesema haitatoa ushirikiano kwa wachunguzi wa uhalifu wa kivita kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai, ICC. Vitendo vya uhalifu dhidi ya ubinadamu unadaiwa kufanywa More...

By Mtanzania Digital On Sunday, November 12th, 2017
Maoni 0

WAATHIRIKA WA KIMBUNGA WASAIDIWA

HANOI, VIETNAM NDEGE ya Urusi ambayo ina shehena ya tani 40 za mizigo ya misaada ya kibinadamu, imewasili nchini  Vietnam kuwasaidia waathirika wa kimbunga kilicholikumba taifa hilo hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa More...

By Mtanzania Digital On Sunday, November 12th, 2017
Maoni 0

PUTIN AUNGA MKONO SOKO HURU ASIA, PASIFIKI

MOSCOW, Urusi RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, amesema kwamba, Serikali yake inaunga mkono kwa dhati wazo la kuanzisha soko huru katika nchini za Bara la Asia na Pasifiki. Rais Putin alitoa kauli hiyo mwishoni mwa More...

By Mtanzania Digital On Sunday, November 12th, 2017
Maoni 0

TRUMP, PUTIN KUPAMBANA NA ISIS

DA NANG, VIETNAM RAIS wa Marekani, Donald Trump na Vladimir Putin wa Urusi, wamekubaliana kuhakikisha wanapambana kwa nguvu zote ili kundi la wapiganaji wanaojiita Islamic State (IS) linashindwa vita nchini Syria. Kwa More...

By Mtanzania Digital On Sunday, November 12th, 2017
Maoni 0

NYANZA KUWA ‘TAIFA’ JIPYA AFRIKA MASHARIKI?

NAIROBI, KENYA MADAI yaliyopata kuzungumzwa kuhusu kujitenga kwa baadhi ya maeneo nchini Kenya yameanza kuibuliwa upya na baadhi ya viongozi wa taifa hilo. Mambo hayo yalianza kujitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba More...

Translate »