SABABU ZA WABANGUAJI KOROSHO KUSHINDWA KUENDELEZA VIWANDA ZATAJWA

Na Florence Sanawa, Mtwara WAZIRI Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amesema wabanguaji wa ndani hawapati korosho ghafi za kutosha kuendeleza viwanda vyao kutokana na ugumu uliopo kisheria. Amesema wabanguaji hao wanahitaji zaidi ya tani 240 kwa mwaka mzima huku msimu uliopita tani 320,000 zikisafirishwa kwenda nje ya nchi. Akikabidhi eneo kwa More...

by Mtanzania Digital | Published 2 weeks ago
By Mtanzania Digital On Tuesday, February 27th, 2018
Maoni 0

WAZIRI MKUU AITAKA MAMCU KUJITAZAMA UPYA

Na Florence Sanawa, Mtwara Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mrajisi wa Ushirika Dk. Titto Haule kuangalia kwa umakini utendaji na ufanisi wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Mtwara (MAMCU) na viongozi wote More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, January 23rd, 2018
Maoni 0

HANDENI KUUZA MIHOGO CHINA

Na SUZAN UHINGA -TANGA Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe  amewataka wanachi wilayani humo kulima kwa wingi mihogo kutokana na zao hilo kustahimili ukame lakini pia lina soko la uhakika. Amesema ofisi yake More...

By Mtanzania Digital On Monday, January 22nd, 2018
Maoni 0

PANYA WAVAMIA MASHAMBA HANDENI, WALA MAHINDI YOTE

Panya waharibifu wamevamia mashamba ya mahindi ya wananchi wilayani Handeni, mkoani Tanga na kula mahindi yote hatua inayodaiwa kuleta hofu ya kukumbwa na baa la njaa. Wakizungumza na Mtanzania Digital baadhi ya More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, December 19th, 2017
Maoni 0

WAKULIMA WAZINGATIE USALAMA CHAKULA, SUMU KUVU

Na JANETH MUSHI-ARUSHA SUMU kuvu maarufu kama aflatoxin, ni aina ya sumu ambayo inatengenezwa na ukungu katika mazao ya  nafaka kama mahindi au karanga  ambayo haijahifadhiwa katika sehemu ambayo kitaalamu More...

By Mtanzania Digital On Monday, October 16th, 2017
Maoni 0

DK. TIZEBA ‘ATUMBUA’ VIGOGO WATATU

Waziri wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba amewatumbua maofisa watatu wa Idara ya Maendeleo ya Mazao, kitengo cha pembejeo mkoani Geita, akiwamo Mkurugenzi Msaidizi wa kitengo hicho, Shenal Nyoni Ofisa Kilimo Daraja More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, October 11th, 2017
Maoni 0

WAKULIMA WA CHAI LUSHOTO WALIA NA UKATA

Wakulima wa chai wilayani Lushoto, wamedai wanashindwa kumudu gharama za maisha ikiwamo kusomesha watoto baada ya Kiwanda cha Chai cha Mponde, kilichopo Lushoto mkoani Tanga kufa. Kutokana na hali hiyo, chai wanayolima More...

By Mtanzania Digital On Monday, September 11th, 2017
Maoni 0

WAWEKEZAJI WANYEMELEA ‘MASHAMBA YA JPM’

Na Amina Omari-Muheza HALMASHAURI ya Wilaya ya Muheza imeanza kupokea maombi kwa ajili ya  shughuli za uwekezaji wa kilimo, mifugo na viwanda katika mashamba saba ya mkonge yaliyofutiwa umiliki na Rais Dk. John More...

By Mtanzania Digital On Monday, August 14th, 2017
Maoni 0

WAKULIMA WAELEZA UBORA WA MBEGU MPYA YA PAMBA

Na MWANDISHI WETU -MWANZA WAKULIMA wa Mkoa wa Simiyu wamesema mbegu mpya ya pamba ya UKM 08 ambayo haina manyoya ni bora na kwamba inaongeza uzalishaji wao. Kutokana na hilo, wameitaka Serikali kuisimamia kikamilifu More...

By Mtanzania Digital On Monday, August 14th, 2017
Maoni 0

WAKULIMA RUNGWE WATISHIA KUACHA KULIMA ZAO LA CHAI

Na PENDO FUNDISHA -MBEYA WAKULIMA wa zao la chai wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, wametishia kung’oa miche ya zao hilo na kupanda  tunda la parachichi mara msimu wa kilimo utakapoanza. Wamesema zao hilo limeonekana More...